MECHI za raundi ya 21 na 22 za Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kwa makundi yote zitasimamishwa ili kupisha Polisi Mara imalize mechi zake za…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Uteuzi Mkurugenzi Mkuu Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amemteua Bwana Masha J. Musomba kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi. Uteuzi…
Continue Reading....Profesa Muhongo Akimbia Aibu ya Kufukuzwa Uwaziri
*JK ateuwa mawaziri na kuwaapisha papo hapo ALIYEKUWA Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo amekimbia aibu ya kutimuliwa katika nafasi yake ya uwaziri…
Continue Reading....Profesa Sospeter Muhongo Atangaza Kujiuzulu Leo
TAARIFA ambazo mtandao wa dev.kisakuzi.com umezipata ni kwamba Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo ameamua kujiuzulu nafasi yake. Profesa Muhongo ametangaza hatua hiyo…
Continue Reading....LHRC Yazungumzia Utekelezaji Sheria Kura ya Maoni…!
Wanahabari kutoka vyombo mbalimbali wakichukua taarifa hiyo. KITUO cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimesema kina wasiwasi na mchakato wa kura ya maoni inayotarajiwa…
Continue Reading....Sekta ya Sayansi na Teknolojia Yaonesha Mafanikio
Mkurugenzi Mkuu wa Tume ya Taifa ya Sayansi na Teknolojia (Costech), Dk. Hassan Mshinda (katikati), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kwenye…
Continue Reading....