Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 352

Category: Habari za Nyumbani

Wafanyabiashara Iringa Mjini Wagoma

Posted on: January 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Iringa, mgomo, Wafanyabiashara
Wafanyabiashara Iringa Mjini Wagoma

Askari  wa FFU  wakizunguka mitaa mbali mbali ya mji wa Iringa jana kama  njia ya  kulinda amani kwa  wafanyabiashara  ambao  waliendelea kutoa huduma  baada ya…

Continue Reading....

Ebola Imethibitisha Udhaifu wa Mifumo ya Afya

Posted on: January 28, 2015 - jomushi
Post Tags: afya, Ebola, Mifumo
Ebola Imethibitisha Udhaifu wa Mifumo ya Afya

MKUTANO mkubwa wa kimataifa kuhusu masuala ya afya umeambiwa kuwa ugonjwa wa ebola umethibitisha kuwa dunia haijajenga uwezo wa kutosha wa kukabiliana na magonjwa makubwa…

Continue Reading....

Janga Lingine Polisi, Askari Wanyang’anywa Silaha 2

Posted on: January 28, 2015January 28, 2015 - jomushi
Post Tags: Polisi, Silaha, tanga
Janga Lingine Polisi, Askari Wanyang’anywa Silaha 2

JESHI la Polisi limeendelea kukumbwa na majanga ya askari wake kuvamiwa na kunyang’anywa silaha nyakati za usiku wakiwa kazini. Ikiwa ni siku chache zimepita baada…

Continue Reading....

NSSF, Real Madrid Kuzalisha Vipaji vya Soka Tanzania

Posted on: January 27, 2015 - jomushi
Post Tags: NSSF, Real Madrid, Soka Tanzania
NSSF, Real Madrid Kuzalisha Vipaji vya Soka Tanzania

Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) limeingia mkataba na klabu maarufu duniani ya Real Madrid ya Hispania wa kujenga kituo…

Continue Reading....

TTCL Yasaini Mkataba wa USD Mil 182 na Huawei Kuboresha Mawasiliano

Posted on: January 27, 2015 - jomushi
Post Tags: Mawasiliano, Mkataba, TTCL
TTCL Yasaini Mkataba wa USD Mil 182 na Huawei Kuboresha Mawasiliano

TTCL na Kampuni ya MS Huawei Technologies ya China imeingia mkataba ambao unalenga kujenga, kupanua na kuboresha mtandao wa TTCL wa simu za mezani, mkononi…

Continue Reading....

Watanzania Ughaibuni Watakiwa Kuwekeza Kwenye Afya Tanzania

Posted on: January 26, 2015 - jomushi
Post Tags: Afya Tanzania, Ujerumani, Watanzania
Watanzania Ughaibuni Watakiwa Kuwekeza Kwenye Afya Tanzania

WAZIRI wa Afya na Ustawi wa Jamii wa Tanzania, Seif Rashid na Waziri wa Afya wa Zanzibar, Rashid Seif Suleiman, Januari 25, 2015 walikutana na kuzungumza na…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari