Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 326

Category: Habari za Nyumbani

Mangula Aongoza Utekelezaji wa Ilan ya CCM

Posted on: April 21, 2015 - jomushi
Post Tags: CCM
Mangula Aongoza Utekelezaji wa Ilan ya CCM

Na Dotto Mwaibale MAKAMU Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Tanzania Bara, Philip Mangula amewataka makada wa chama hicho wenye nia ya kugombea ubunge katika…

Continue Reading....

RC Dar es salaam Azindua Mpango kazi kupunguza Vifo vya Kinamama na Watoto

Posted on: April 21, 2015 - jomushi
RC Dar es salaam Azindua Mpango kazi kupunguza Vifo vya Kinamama na Watoto

Na. Aron Msigwa – MAELEZO. Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Saidi Meck Sadiki amezindua Mpango Kazi wa kuharakisha kupunguza vifo vya akina mama…

Continue Reading....

Wanafunzi Watakiwa Kuepuka Mazingira Hatarishi ya Mimba za Utotoni

Posted on: April 21, 2015 - jomushi
Wanafunzi Watakiwa Kuepuka Mazingira Hatarishi ya Mimba za Utotoni

Na Anna Nkinda –Maelezo 20/4/2015 Wanafunzi wametakiwa kujilinda, kujiepusha na mazingira na tabia hatarishi ikiwemo vishawishi rika kama vile kutoanza mahusiano ya kimapenzi katika umri…

Continue Reading....

Marie Stoper Yazindua Huduma ya Uzazi wa Mpango Katavi.

Posted on: April 21, 2015 - jomushi
Marie Stoper Yazindua Huduma ya Uzazi wa Mpango Katavi.

Na Kibada Ernest Kibada –Katavi. Mkoa wa Katavi umezindua mradi wa huduma ya uzazi wa Mpango unayotolewa bure na Marie Stopes Tanzania (MST) kwa Wananchi…

Continue Reading....

Licha ya Changamoto Tanzania Itasonga Mbele – Waziri Nyalandu

Posted on: April 20, 2015 - jomushi
Post Tags: Nyalandu, tanzania

WAZIRI wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, amesema pamoja na mitihani mikubwa ambayo taifa inakabiliana nayo, umoja wa Watanzania utaifanya nchi isonge mbele kama taifa linalozingatia sheria na…

Continue Reading....

Serikali Yaandaa Sheria Kuwalinda Watoa Taarifa za Uhalifu – Mwanasheria Mkuu

Posted on: April 20, 2015 - jomushi
Post Tags: AG, serikali, Sheria Dawa za Kulevya
Serikali Yaandaa Sheria Kuwalinda Watoa Taarifa za Uhalifu  – Mwanasheria Mkuu

SERIKALI imesema inaandaa mswada wa sheria ambayo itawalinda watoaji wa taarifa za masuala ya uhalifu ikiwa ni jitihada za kuimarisha mapambano dhidi ya vitendo mbalimbali…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari