OFISI ya waziri Mkuu kupitia Idara ya Uratibu wa Shughuli za maafa imewasilisha Mkakati wa Mawasiliano wa kukabiliana na maafa kwa mkoa wa Mtwara. Mkakati…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Wajasiliamali Acheni Kuilalamikia Serikali-Mbene
Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Viwanda na Biashara, Janeth Mbene ametembelea eneo la viwanda vidogo, SIDO na kuwataka wajasiliamali kuamka na kuacha kuwa wategemezi…
Continue Reading....Manispaa ya Ilala Yazungumzi Mpango Uboreshaji na Ukusanyaji Mapato
Meneja Kodi Majengo wa Manispaa hiyo, Stellah Mgumia akitoa ufafanuzi mbalimbali wa ukusanyaji wa mapato. Mkuu wa Idara ya Kilimo na Ushirika wa Manispaa hiyo,…
Continue Reading....Maadhimisho Siku ya Malaria Duniani Kufanyika Dar Aprili 25
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam TANZANIA itaungana na mataifa mengine kuadhimisha Siku ya Malaria duniani Aprili 25 mwaka huu ili kutathmini mafanikio ya utekelezaji…
Continue Reading....Tanzania Yapiga ‘Mkwala’ Wawekezaji Utoroshaji Madini
SERIKALI imewataka wachimbaji na wanunuzi wa madini ya Tanzanite nchini, kuacha tabia ya Utoroshaji wa madini hayo nje ya nchi huku, ikiagizwa kuachwa kuuzwa madini ghafi. Katika kudhibiti…
Continue Reading....Mtandao Hedhi Salama Watoa Mafunzo ya Hedhi kwa Wanafunzi
Mratibu wa Mradi wa Afya wa Help Kids Edith Peter Mziray akiwasihi wanafunzi kuwa wasikivu wakati wa semina ya Hedhi salama Mwanafunzi wa Darasa la…
Continue Reading....