Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 318

Category: Habari za Nyumbani

Benki ya NMB Yawasaidia Waliokubwa na Mafuriko Moshi

Posted on: May 11, 2015 - jomushi
Post Tags: Benki ya NMB, mafuriko, Moshi
Benki ya NMB Yawasaidia Waliokubwa na Mafuriko Moshi

Meneja wa Benki ya NMB kanda ya kaskazini Vicky Bishubo akizungumza wakati wa kukabidhi msaada wa kwa waathirika wa mafuriko yaliyotokea hivi karibuni ukanda wa…

Continue Reading....

Vijana Lindi Watakiwa Kutobaguana

Posted on: May 11, 2015 - jomushi
Post Tags: Lindi, Vijana
Vijana Lindi Watakiwa Kutobaguana

Na Anna Nkinda – Lindi VIJANA mkoani Lindi wametakiwa kuwa wazalendo na kutobaguana bali wasambaze upendo na kujiona wote ni sawa kwa kufanya hivyo wataondoa…

Continue Reading....

JK Aipa Pole Familia ya Mwalimu Nyerere kwa Msiba

Posted on: May 11, 2015May 11, 2015 - jomushi
Post Tags: JK, mwalimu, Nyerere
JK Aipa Pole Familia ya Mwalimu Nyerere kwa Msiba

RAIS Jakaya Mrisho Kikwete ametuma salama za rambirambi kwa mama Maria Nyerere na familia yake kwa kuondokewa na mmoja wa wana familia yake, Bw. John…

Continue Reading....

Rais Kikwete Azungumza na Wasomi Vyuo Vikuu Algeria

Posted on: May 11, 2015 - jomushi
Rais Kikwete Azungumza na Wasomi Vyuo Vikuu Algeria

Na Mwandishi Maalum RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameielekeza Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa kuhakikisha kuwa Balozi…

Continue Reading....

TAWLA na Maadhimisho Miaka 25 ya Msaada wa Sheria kwa Akinamama

Posted on: May 11, 2015 - jomushi
Post Tags: Miaka 25, Msaada wa Sheria, TAWLA
TAWLA na Maadhimisho Miaka 25 ya Msaada wa Sheria kwa Akinamama

   Mkutano ukiendelea.  Dotto MwaibaleCHAMA cha Wanawake Wanasheria  Tanzania (TAWLA) kwa kipindi cha miaka 25 kimetoa msaada wa kisheria kwa wanawake milioni tano katika mikoa…

Continue Reading....

Rais Kikwete Ziarani Algiers, Algeria

Posted on: May 10, 2015 - jomushi
Post Tags: Algeria, Algiers, Rais Kikwete

RAIS was Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete amewasili mjini Algiers, mji mkuu wa Algeria, mchana wa leo, Jumamosi, Mei 9, 2015 kuanza…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari