Na Frank Mvungi, MAELEZO SERIKALI imeendelea kuimarisha umoja, amani na utulivu miongoni mwa wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika kipindi cha miaka kumi.…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Viongozi wa Kimasai Waridhia Kuacha Ukeketaji Mbele ya UNESCO
Viongozi wa Kimasai Waridhia Kuacha Ukeketaji Na Joachim Mushi, Ngorongoro VIONGOZI wakuu wa jamii ya Kimasai wa Afrika Mashariki wameridhia kuachana na mila potofu zimezopitwa…
Continue Reading....Wilaya ya Morogoro Yajivunia Kupunguza Maambukizi ya Malaria
Na Andrew Chimesela, Morogoro HALMASHAURI ya Wilaya ya Morogoro, imefanikiwa kupunguza maambukizi ya ugonjwa wa malaria kwa asilimia nane (8) ukilinganisha na maambukizi ya ugonjwa…
Continue Reading....Tigo Yatoa Dola 150,000 kwa Watoto Wenye Miguu Iliyopinda CCBRT
Meneja Mkuu wa Tigo, Diego Gutierrez (kushoto), akizungumza na waandishi wa habari Dar es Salaam jana wakati wa hafla fupi ya kutiliana saini mkataba wa…
Continue Reading....CRDB tawi la Meru Latembelea Kituo cha Watoto cha ST Joseph Moshono Arusha
JUKUMU la malezi ya watoto yatima na waishio katika mazingira magumu nchini linapaswa kutekelezwa na kila mtanzania pamoja na tasisi mbalimbali nchini ili kupunguza wimbi…
Continue Reading....Udhibiti wa Kuchepusha Dawa za Serikali Kutekelezwa
Ofisa Uhusiano wa MSD, Benjamin Massangya (kulia), akimueleza mkazi wa Utete kutoka wilaya ya Rufiji, Omary Abdallah shughuli mbalimbali zinazofanywa na MSD baada ya kutembelea…
Continue Reading....