Mganga Mkuu Wizara ya Afya na Ustawi wa jamiii, Dk. Magreth Mhando akisoma hotuba ya uzinduzi wa maabara itembeayo kwa ajili ya mafunzo ya upasuaji.…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Nawera Alalamikia Gharama Kubwa ya Bei za Dawa za Binadamu
Na Dotto Mwaibale MWENYEKITI wa Chama cha Walaji na Tiba Tanzania , Elias Nawera, ameitaka Wizara ya Afya na Ustawi wa Jamii kutatua changamoto ya…
Continue Reading....Kongamano Kujadili Malengo Mapya ‘SDGs’ Lafanyika Dodoma
Na Mwandishi Wetu, Dodoma KONGAMANO kubwa la siku mbili la kujadili namna taifa linavyojiandaa kutekeleza malengo mapya ya Maendeleo endelevu (SDGs) limefanyika mwishoni mwa wiki…
Continue Reading....Padre Awataka Waumini Kujiweka Tayari kwa Kifo…!
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam PAROKO wa Parokia ya Muhimbili ya Bikira Maria Salama ya Wagonjwa, Padre Ephraim Ogha amewataka Watanzania na hasa waumini…
Continue Reading....Wanafunzi Feza Schools Washinda Genius Olympiad Kimataifa
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam WANAFUNZI sita wa Shule za Feza Tanzania wameshinda mashindano ya taaluma kimataifa ‘Genius Olympiad’ yaliyoshirikisha nchi mbalimbali katika vipengele…
Continue Reading....Mwanahabari Edson Kamukara Afariki Dunia…!
Na Joachim Mushi MWANDISHI wa habari Edson Kamukara aliyekuwa mfanyakazi wa Hali Halisi Publishers Limited (HHPL) amefariki dunia ghafla nyumbani kwake Mabibo jijini Dar es…
Continue Reading....