Mwenyekiti wa Kampuni ya Mabibo Beer Wines and Spirits Ltd, Benedicta James Rugemalira (katikati), akizungumza katika mkutano huo na kusema bia halali iliyopo kwenye soko ni…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mafundi TEMESA Wafundwa Juu ya Usimamizi na Ukaguzi Mazingira
MAFUNDI sanifu wa Wakala wa Umeme na Ufundi (TEMESA), kutoka mikoa mbalimbali nchini wameaswa juu ya umuhimu wa tathmini, usimamizi na ukaguzi wa mazingira katika…
Continue Reading....NSSF Yatoa Huduma za Afya Bure Maonesho ya Sabasaba
Na Mwandishi Wetu SHIRIKA la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) linatoa huduma za afya bure kwa wateja mbalimbali watakaotembelea katika Banda la shirika hilo…
Continue Reading....Maiti Yazinduka Ikiandaliwa Kuzikwa Bagamoyo…!
Na Mwandishi Wetu, Bagamoyo MAAJABU yametokea Mjini Bagamoyo baada ya mtu aliyefahamika kwa jina moja, Bi. Hatujuani kuzinduka na kuanza kupumua wakati maiti yake ikioshwa…
Continue Reading....Tanzania Wapongezwa Kupunguza Vifo vya Wajawazito na Watoto
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam TANZANIA inajivunia mafanikio makubwa ya kupunguza idadi ya vifo vya wajawazito pamoja na idadi ya watoto chini ya miaka…
Continue Reading....Banda la NSSF Lavutia Wengi Maonesho 39 ya Kimataifa Sabasaba
WANACHAMA wote wa NSSF na wasio Wanachama Mnakaribishwa kujionea na kupata huduma mbalimbali zikiwemo, taarifa za jumla zinazohusu kujiandikisha uanachama, uwekezaji unaofanywa na Shirika, Maelezo…
Continue Reading....