Lembeli akizungumza na wanahabari. Sababu za James Lembeli Kuhama CCM Hizi Hapa… ALIYEKUWA Mbunge wa Kahama James Lembeli, amehamia rasmi Chama cha Demokrasia na Maendeleo…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
UDSM Yampa Shahada ya Udaktari wa Sheria Rais Kikwete
RAIS Jakaya Mrisho Kikwete leo katika Ikulu ya Dar es Salaam amepokea Joho na Cheti cha Shahada ya Heshima ya Udaktari wa Sheria yaani Doctor…
Continue Reading....Mbunge Lembeli Aihama CCM, Atangaza Kujiunga Chadema
ALIYEKUWA Mbunge wa Jimbo la Kahama kupitia tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), James Lembeli ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na Chama cha…
Continue Reading....Polisi Wafanikiwa Kukamata Bunduki na Risasi Zilizoibiwa Kituoni Stakishari Dar
JESHI la polisi nchini Tanzania leo limetangaza kupata mafanikio makubwa katika operation maalum inayoendelea ya kuwasaka watu waliohusika katika shambulio la kuvamia kituo cha polisi cha…
Continue Reading....Acacia Watumia Milioni 400 Kujenga Maabara Mkoani Shinyanga
Meneja Mkuu wa Mgodi wa Buzwagi,Mhandisi Philbert Rweyemamu(kushoto) akiwa na Mkuu wa wilaya ya Shinyanga Bi Josephine Matiro wakati wa uzinduzuzi wa jengo la Maabara katika…
Continue Reading....Kambi ya Edward Lowassa Sasa Rasmi Chadema
SASA ni rasmi kwamba kambi ya aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CCM, Edward Lowassa imeamua kuachana na chama hicho baada ya madiwani 18 kutangaza…
Continue Reading....