Kiongozi wa kitaifa wa mradi wa CFIT, Prof. Ralph Masenge akimkaribisha mgeni rasmi Kaimu Kamishina wa Elimu, Benjamin Kulwa (hayupo pichani) kufungua kongamano linalohusu upitiaji…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
TTCL Yakabidhi Mradi wa Kuunganisha Matawi ya MSD Tanzania
Na Joachim Mushi, Dar es Salaam KAMPUNI ya Simu Tanzania (TTCL) leo imekabidhi mradi mkubwa wa Mkongo wa Mawasiliano ambao umeyaunganisha matawi yote ya Bohari…
Continue Reading....Auawa Baada ya Kuwachoma Visu Abiria Kwenye Daladala
MTU mmoja aliyefahamika kwa jina la Mosha Mahona ameuawa na wananchi baada ya kuwachoma kwa kisu abiria watano waliokuwa kwenye daladala linalofanya safari zake kati…
Continue Reading....TAKUKURU Yamkingia Kifua Mkurugenzi Manispaa ya Tabora
Mkurugenzi wa Manispaa ya Tabora, Sipora Liana. Jaji Msumi (katikati), akiwa na wenzake akisikiliza shauri hilo. Na Dotto Mwaibale KAMANDA wa Taasisi…
Continue Reading....Rais Kikwete Siku ya Kumbukumbu ya Mashujaa Dar
Na Aron Msigwa – MAELEZO RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk.Jakaya Kikwete anatarajia kuwa mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Siku ya Kumbukumbu ya…
Continue Reading....