Na Joachim Mushi, Dar es Salaam CHAMA cha Mapinduzi (CCM) imesema itashinda Uchaguzi Mkuu mchana kweupeee hapo Oktoba 2015 licha ya aliyekuwa Waziri Mkuu mstaafu…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
JK Aendelea Kutwaa Shahada za Heshima Vyuo Vikuu
Na Premi Kibanga, Mwandishi wa Habari wa Rais, Newcastle-Australia RAIS Jakaya Kikwete ametunukiwa shahada ya heshima ya udaktari wa Sheria (Doctor of Laws honorific causa)…
Continue Reading....Lowassa Atoboa Siri ya Richmond, Adai ni Maagizo ya Mamlaka ya Juu
Na Mwandishi Wetu, WAZIRI Mkuu mstaafu, Edward Lowassa ametua zigo la kashfa ya Richmond iliyosababisha kujiuzulu uwaziri mkuu kwa kueleza jitihada zake alizofanya kabla ya…
Continue Reading....Waziri Mkuu Australia Ampongeza Rais Kikwete Kuachia Madaraka Kikatiba
WAZIRI Mkuu wa Australia, Tony Abbot amempongeza Rais Jakaya Mrisho Kikwete kwa kuamua kukabidhi madaraka kwa kiongozi mwingine kwa mujibu wa Katiba nchini Tanzania. “Nakupongeza…
Continue Reading....TTCL Waweka Wazi Mafanikio ya Mkongo Mkutano wa Connect 2 Connect
Na Mwandishi Wetu, TANZANIA inafanya mazungumzo na mataifa anuai ya Afrika zikiwemo nchini za Angola, Namibia pamoja na Zambia ili kuweza kuunganisha mkongo wa taifa…
Continue Reading....Edward Lowassa Aibukia CHADEMA,Kugombea Urais UKAWA
ALIYEKUWA Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania, Edward Ngoyai Lowassa na kada mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ametangaza rasmi kukihama chama hicho na kujiunga na…
Continue Reading....