RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemteua Joseph B. Masikitiko kuwa Mtendaji Mkuu wa Shirika la Viwango Tanzania (TBS). Kabla ya uteuzi…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Mbowe Alazwa Muhimbili, Azungumza na Waandishi Hospitalini
Na Mwandishi Wetu MWENYEKITI wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe amelazwa katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, kitengo cha moyo baada ya…
Continue Reading....EFM Kuendeleza Tamasha la Muziki Baa kwa Baa
Na Dotto Mwaibale KITUO cha Redio cha EFM kimeamua kuendelea kufanya tamasha la muziki Bar kwa Bar baada ya kumalizika kwa tamasha hilo kwa awamu…
Continue Reading....Lowassa Aweka Historia Dar, Msafara Wake Haijawahi Tokea
Na Mwandishi Wetu, Dar MSAFARA wa mgombea urais kupitia tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Edward Lowassa ambaye pia anaungwa mkono na vyama…
Continue Reading....Watumishi wa Serikali Waaswa Matumizi ya Rasilimali Fedha
Watumishi wa Serikali wameaswa kuwa na nidhamu ya matumizi bora ya rasilimali fedha ili kuleta ufanisi na maendeleo endelevu kwa manufaa ya wananchi wa mkoani…
Continue Reading....Waziri Mkuu Pinda Ayapa Jina Jipya Maonesho ya Nanenane
WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema maonyesho ya siku ya wakulima nchini maarufu kama Nane Nane ni sawa na shamba darasa ambalo washiriki na wananchi wanapata…
Continue Reading....