MKUU wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Meck Sadiq ametoa tahadhari kwa wakazi wa jiji hilo kuwa makini kwani ugonjwa wa kipindupindu tayari umevamia…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Utafiti wa Afya ya Uzazi, Mtoto na Malaria Kuanza Agosti
Na Veronica Kazimoto, Moshi WITO umetolewa kwa viongozi wote wa Serikali katika Ngazi zote na wananchi kwa ujumla kutoa ushirikiano kwa Wasimamizi, Wahariri na Wadadisi…
Continue Reading....CCM Waweka Hadharani Kikosi cha Kampeni Uchaguzi Mkuu
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam KAMATI Kuu ya Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) taifa Agosti 17, 2015 imekutana katika kikao chake cha…
Continue Reading....UKAWA Wataja Mgawanyiko wa Majimbo na Vyama Vyao
VYAMA vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) vimetangaza mgawanyo wa majimbo 253 kati ya 265 ya ubunge huku 12 yaliyokuwa kwenye mvutano yakibaki kiporo.…
Continue Reading....Wanataaluma ya TEHAMA Watakiwa Kuzingatia Maadili
Na Aron Msigwa -MAELEZO, ARUSHA SERIKALI imewataka watalaam wa Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) walio katika utumishi wa umma nchini kufanya kazi zao kwa…
Continue Reading....Madereva wa Mabasi ya Mwendo wa Haraka ya Jijini Dar Waanza Mafunzo
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Hawa Ghasia, akikata utepe kuashiria uzinduzi wa mafunzo ya madereva…
Continue Reading....