Katibu wa Tuiko Mkoa wa Mbeya Ndugu Merbota Kapinga akizungumza katika mkutano huo . Mwenyekiti wa Tuiko Mkoaa wa Mbeya Daudi Mpolya akizungumza na wajumbe…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Benki ya Mkombozi Yazindua Tawi Jipya Kilimanjaro
Baadhi ya wananchi wakishuhudia ufunguzi rasmi wa Benki ya Mkombozi tawi la Moshi. Maeneo tofauti ya Benki hiyo kwa ndani. Askofu wa jimbo Katoliki la…
Continue Reading....Felix Ntibenda Mgeni Rasmi Tamasha la 10 Vyombo vya Habari
Na Woinde Shizza,Arusha Mkuu wa mkoa wa Arusha, Felix Ntibenda,anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika tamasha la 10 la vyombo vya habari vya mkoa wa Arusha. ambalo litafanyika Agosti 29…
Continue Reading....Mgombea Mwenza CCM Ahaidi Pikipiki 30 za Mikopo kwa Vijana Vunjo
Na Joachim Mushi, Rombo MGOMBEA mwenza wa kiti cha urais Bi. Samia Suluhu amesema ilani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) imetoa kipaumbele kwa kuwawezesha vijana…
Continue Reading....JK Awaonya Maafisa TAMISEMI,Bodi ya Barabara na Wadau
Rais wa Jamhuri ya Muunganowa Tanzania,Jakaya Mrisho Kikwete amesema kuwa niwajibu wa Mikoa na serikali za Mitaa kusimamia changamoto na mapungufu katika usimamizi wa ujenzi…
Continue Reading....Wananchi Wamzuia Mgombea Mwenza wa CCM Barabarani Mwanga
BAADHI ya wananchi na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamelazimika kuuzuia msafara wa mgombea mwenza wa nafasi ya urais leo alipokuwa njiani akitokea Wilaya…
Continue Reading....