Msafara wa mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu Hassan ukiwasili Gairo mkoani Morogoro. Baadhi ya wananchi waliojitokeza kumpokea mgombea mwenza…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Uboreshaji wa Usalama Barabarani kwa Usafirishaji wa Masafa Marefu.
Wadau wa Usafirashaji wakiwa katika Maonyesho ya ‘Fuso ni faida’ jijini Dar Na Mwandishi Wetu, Mtandao wa miundombinu ya barabara nchini Tanzania inayokadiriwa kuwa…
Continue Reading....Jenerali Davis Mwamunyange yu Bukheri wa Afya
Kwa mujibu wa taarifa za familia ya Jenerali Mwamunyange pamoja na makao makuu ya jeshi ambazo Globu ya Jamii imezisaka na kuzipata, kiongozi…
Continue Reading....Mtoto Aliyepotea Apatikana Mwanza
Taarifa mpya kutoka kwa familia ya Jullu inasema kuwa mtoto wao Loveness Coletha aliyepotea na yaya wake amepatikana na mzazi wake amesafiri kwenda jijini Mwanza…
Continue Reading....Nkone, Lissu, Mwangila Waahidi Makubwa Tamasha la Amani
Mwenyekiti wa maandalizi ya Tamasha la Kuombea Amani katika Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 25, Alex Msama akifafanua jambo kuhusu maandalizi ya tamasha hilo jijini Dar…
Continue Reading....Mtoto Apotea na House-girl
Familia ya Jullu ya Wazo Hill kwa Msabaha jijini Dar es Salaam inaomba msaada kutoka kwa raia wema ili kufanikisha kumpata mtoto wao Loveness Coletha Jullu…
Continue Reading....