Wakazi wa wilaya ya Tarime wametakiwa kuachana na vitendo vya unyanyasaji wa kijinsia hasa mila za ukeketaji na ndoa za utotoni kwa watoto wa kike.…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Watanzania Waaswa Kuzingatia Afya Bora ya Moyo
Na Mwandishi Wetu, Dar Es Salaam, IkiwazimepitasikutatutokakuhadhimishwasikuyaMoyodunianimwakahuu, Watanzaniawameshauriwakufanyamaamuzibinafsikatikakujaliafyayamoyo. KaulimbiuyaSikuyaMoyodunianimwaka2015 inahusukuchaguaafyabora yamoyokwakilamtunakilamahali. Piainalengakuonyeshamatokeoambayomazingirayetuyanawezakuletajuuyauwezowetuwakufanyamaamuzi bora kwaajiliafyabora kwamoyowabinaadamu. Piasikuhiyoinatumikakuelimishajinsiambavyomazingiratunayoishiyanawezakuathirinakuongezahatariyamagonjwayanayohusiananamoyo. Kwamujibuwatakwimuyahivikaribuniya WHO iliyochapishwa Mei 2014, vifovyaugonjwawamoyonchini Tanzania vimefikia 11,031.…
Continue Reading....Mama Samia Suluhu Asimikwa Umalkia Maswa, Aitwa Ng’walu Majura
Mgombea mwenza wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wa nafasi ya urais, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akisimikwa kuwa Malkia wa Wasukuma Wilaya ya Maswa na…
Continue Reading....JK kuongoza maelfu kuombea amani Oktoba 4
NA MWANDISHI WETU RAIS Jakaya Kikwete kesho Jumapili Oktoba 4 anatarajiwa kuwaongoza maelfu ya watanzania katika Tamasha la kuombea amani Uchaguzi Mkuu wa…
Continue Reading....Vyama Vitano Vimekutana na Waandishi wa Habari
Viongozi wa vyama vya siasa vitano AFP, UMD, CHAHUSTA, JAHAZI ASILIA NA DEMOKRASIA MAKINI kwa pamoja tumeungana kutoa wito kwa wanasiasa wenzetu, viongozi wa dini…
Continue Reading....Mafunzo ya Wasimamizi na Maafisa Uchaguzi Dar es salaam Yafanyika
Mkuu wa mkoa wa Dar es slaam Said Mecki Sadiki amewataka Waratibu wa Uchaguzi, Wasimamizi wa Uchaguzi na viongozi wa vyama vya Siasa katika mkoa…
Continue Reading....