Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 212

Category: Habari za Nyumbani

Wizara ya Nisahati na Madini Yatoa Ufafanuzi Mradi wa Umeme Kinyerezi II

Posted on: January 15, 2016January 15, 2016 - jomushi
Wizara ya Nisahati na Madini Yatoa Ufafanuzi Mradi wa Umeme  Kinyerezi II

Na Nyakongo Manyama- MAELEZO WIZARA ya Nishati na Madini  imekanusha habari iliyopotosha umma kuhusu   mradi wa umeme wa Kinyerezi II kuwa bado haujaanza na gharama zilizoandikwa si…

Continue Reading....

Wahamiaji Haramu Wasakwa Mkoani Mbeya

Posted on: January 15, 2016 - jomushi
Post Tags: Ufisadi wa Ajira wa Kutisha Idara ya Uhamiaji
Wahamiaji Haramu Wasakwa Mkoani Mbeya

ZOEZI la kuwasaka wahamiaji haramu na wageni wanaofanya kazi bila kibali limeendelea kufanikiwa mkoani Mbeya ambapo jumla ya wageni 20 wamekamatwa mkoani humo kutokana na makosa mbalimbali likiwemo…

Continue Reading....

Prof Mbarawa Awabana TEMESA Kivuko cha Kigamboni

Posted on: January 13, 2016 - jomushi
Post Tags: Kigamboni
Prof Mbarawa Awabana TEMESA Kivuko cha Kigamboni

WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Prof. Makame Mbarawa amewataka Wakala wa Ufundi na Umeme nchini (TEMESA), kufunga mfumo kamili wa elekroniki katika kivuko cha…

Continue Reading....

Waziri Mkuu Afanya Mazungumzo na Mabalozi wa Qatar na Kuwait

Posted on: January 13, 2016 - jomushi
Post Tags: Waziri Mkuu
Waziri Mkuu Afanya Mazungumzo na Mabalozi wa Qatar na Kuwait

WAZIRI Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amekuatana na kufanya mazungumzo na mabalozi wawili kutoka nchi za Qatar na Kuwait. Akizungumza kwa nyakati tofauti na mabalozi…

Continue Reading....

TTCL Yakopeshwa Dola Mil 22 na Benki ya Uwekezaji Tanzania

Posted on: January 13, 2016 - jomushi
Post Tags: Kampuni TTCL
TTCL Yakopeshwa Dola Mil 22 na Benki ya Uwekezaji Tanzania

KAMPUNI ya Simu Tanzania TTCL na Benki ya TIB leo zimetiliana saini Mkataba wa makubaliano ya dhamana ya Benki na Mkopo wa Dola za Marekani…

Continue Reading....

Naibu Waziri Fedha na Mipango Dk. Kijaji Aibana TRA Mbeya

Posted on: January 13, 2016 - jomushi
Post Tags: Usimamizi Kodi
Naibu Waziri Fedha na Mipango Dk. Kijaji Aibana TRA Mbeya

Baadhi ya waandishi wa Habari Mkoani Mbeya wakiwa makini kumsikiliza Naibu waziri wa Fedha na Mipango Dkt Kishatu Kijaji katika ofisi za Mamlaka ya Mapato…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari