Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 113

Category: Habari za Nyumbani

Mkutano wa Lowassa na Wanafunzi Muhimbili Wazuiliwa

Posted on: August 1, 2016 - jomushi
Post Tags: Edward Lowassa
Mkutano wa Lowassa na Wanafunzi Muhimbili Wazuiliwa

  Na Dotto Mwaibale   UONGOZI wa Chuo Kikuu cha Sayansi ya Tiba Shirikishi Muhimbili (MUHAS) umezuia mkutano uliokuwa ufanywe na baadhi ya wanafunzi wa…

Continue Reading....

Mrema Aanza Kazi Azungumza na Bodaboda, Ampa Siku Saba Makonda

Posted on: August 1, 2016 - jomushi
Post Tags: Bodaboda Mjini
Mrema Aanza Kazi Azungumza na Bodaboda, Ampa Siku Saba Makonda

        MWENYEKITI wa Bodi ya Taifa ya Parole, Augustino Lyatonga Mrema leo amezungumza na waendesha pikipiki za abiria maarufu kama bodaboda pamoja na…

Continue Reading....

Lowasa, Waziri Nape Waongoza Wanahabari Kumuaga Joseph Senga Dar

Posted on: July 31, 2016July 31, 2016 - jomushi
Post Tags: mwanahabari
Lowasa, Waziri Nape Waongoza Wanahabari Kumuaga Joseph Senga Dar

  Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (Mb) akitoa heshima za mwisho mbele ya Mwili wa aliyekuwa mpiga picha mkuu…

Continue Reading....

Mwili wa Mwanahabari Joseph Senga Wawasili Kutokea India

Posted on: July 30, 2016 - jomushi
Post Tags: mwanahabari
Mwili wa Mwanahabari Joseph Senga Wawasili Kutokea India

    MWILI wa mpigapicha mkongwe za habari, Joseph Senga ambaye alifariki juzi nchini India alikokuwa kwa matibabu umewasilili jijini Dar es Salaam leo mchana…

Continue Reading....

Mahakama Kuu Tanga Imetupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi CCM Pangani

Posted on: July 29, 2016 - jomushi
Mahakama Kuu Tanga Imetupilia Mbali Kesi ya Kupinga Ushindi CCM Pangani

  Mbunge wa Jimbo la Pangani (CCM) Jumaa Aweso katika akipongezwa na wananchi wa Jimbo la Pangani mara baada ya kutangazwa na Mahakama Kuu Kanda ya…

Continue Reading....

Prof Mbarawa Ataka Kasi Ujenzi Nyumba za Watumishi wa Umma

Posted on: July 29, 2016July 29, 2016 - jomushi
Post Tags: Nyumba
Prof Mbarawa Ataka Kasi Ujenzi Nyumba za Watumishi wa Umma

    WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amemtaka Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kuhakikisha wanakamilisha haraka miradi ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari