Na Mathias Canal, Dodoma MAONESHO na Mashindano ya mifugo Kitaifa sanjari na Maonesho ya Kilimo yametoa changamoto ya kuleta mapinduzi katika Ufugaji, Uvuvi, na Kilimo…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Jeshi la Polisi Kuvifunga Vyuo vya Udereva Visivyo na Sifa
Na Dotto Mwaibale JESHI la Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani limesema litavifungia vyuo vyote vinavyotoa mafunzo ya udereva nchini bila ya kuwa na sifa. Kauli…
Continue Reading....Zaidi ya Wakazi 265 Mbezi Salasala Wanufaika na DAWASCO
Na Dixon Busagaga WANANCHI zaidi ya 265 wa mtaa wa Upendo, Mbezi Salasala wilayani Kinondoni wamelishukuru Shirika la Majisafi na Majitaka Dar es salaam (DAWASCO),…
Continue Reading....Simiyu: Wanufaika wa TASAF Watakaojihusisha na Ulevi Kuondolewa
Na Stella Kalinga Mkuu wa mkoa wa Simiyu Anthony Mtaka amewataka viongozi wa kata na vijiji kuwabaini wanufaika wa Mpango wa kunusuru kaya masikini TASAF…
Continue Reading....Rais Magufuli Achangisha Fedha za Ujenzi wa Kanisa Mkoani Chato
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli jana tarehe 07 Agosti, 2016 ametembelea Msikiti na Makanisa yaliyopo Chato Mjini Mkoani Geita…
Continue Reading....Barabara ya Mkiwa-Itigi Kujengwa kwa Kiwango cha Lami
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amekagua barabara ya Makongolosi-Rungwa-Itigi hadi Mkiwa yenye urefu wa jumla ya KM 412 na kuhaidi ujenzi…
Continue Reading....