Na Mwandishi Wetu MALALAMIKO ya Kocha Moses Basena kwa TFF baada ya klabu yake ya Simba kusimamisha mkataba wake yaliwasilishwa mbele ya Kamati ya Sheria,…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
TAWIRI yaagizwa kutafiti kutoweka kwa Palahala
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Kikwete ameiagiza taasisi ya utafiti wa wanyamapori (Tanzania Wildlife Research Institute – TAWIRI-) kutafiti…
Continue Reading....Rais Kikwete apeleka rambirambi CCM
Na Mwandishi Wetu RAIS wa Tanzania, Jakaya Kikwete amemtumia salamu za rambirambi Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Wilson Mukama kuomboleza kifo cha Mwenyekiti…
Continue Reading....Wabunge Dar wawakumbuka Wananchi wao!
*Wampinga Dk Magufuli kupandisha nauli vivuko WABUNGE wa Mkoa wa Dar es Salaam wamepinga hatua ya Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi kupandisha gharama ya kivuko…
Continue Reading....Maisha 2012 hayashikiki-Watabiri
IMETABIRIWA kuwa mwaka 2012 utakuwa mwaka mwengine mbaya kiuchumi kwa bara la Ulaya, ingawa ahuweni ya kiuchumi katika masoko yanayoinukia na Marekani huenda ikaufanya uchumi…
Continue Reading....Mwanamuziki Senegal atangaza kugombea urais
MWANAMUZIKI mashuhuri nchini Senegal na mwanaharakati wa kisiasa,Youssou N’dour, ametangaza kuwania kiti cha urais katika uchaguzi wa mwezi Februari nchini humo. Mwanamuziki huyo amesema kuwa…
Continue Reading....