Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 108

Category: Habari za Nyumbani

Wanaosafiri nje ya Nchi Watahadharishwa Chanjo Homa ya Manjano.

Posted on: August 12, 2016 - jomushi
Wanaosafiri nje ya Nchi Watahadharishwa Chanjo Homa ya Manjano.

Na. Aron Msigwa – MAELEZO Dar es Salaam. Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto imewatahadharisha wananchi wanaopanga kusafiri kwenda nje ya…

Continue Reading....

Rais Magufuli Aagiza Dola Kuchungua Chama Kikuu Cha Ushirika

Posted on: August 11, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli Aagiza Dola Kuchungua Chama Kikuu Cha Ushirika

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli ameviagiza vyombo vya dola kuchunguza na kuchukua hatua za kurejesha mali za Chama Kikuu…

Continue Reading....

Tanzania Yafanya Vizuri Katika Uwezeshwaji Wanawake Kiuongozi

Posted on: August 10, 2016 - jomushi
Post Tags: wanawake
Tanzania Yafanya Vizuri Katika Uwezeshwaji Wanawake Kiuongozi

    Na Aron Msigwa – MAELEZO. MFUKO wa Hanns Seidel Foundation (HSF) unaojihusisha na uwezeshaji wa wanawake katika nyanja za uongozi, usawa kijinsia na…

Continue Reading....

JamiiForums.com Wazinduwa Mradi wa Tushirikishane Bukoba

Posted on: August 10, 2016 - jomushi
Post Tags: Jamii Media
JamiiForums.com Wazinduwa Mradi wa Tushirikishane Bukoba

  Timu ya Jamii Media ikitambulishwa mbele ya Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Bukoba.   MTANDAO wa JamiiForums.com umezindua rasmi mradi wa unaowashirikisha viongozi wa…

Continue Reading....

Wananchi Wafurahia Huduma za Mifuko ya Uwekezaji Nanenane Lindi.

Posted on: August 9, 2016August 9, 2016 - jomushi
Wananchi Wafurahia Huduma za Mifuko ya Uwekezaji Nanenane Lindi.

UTT AMIS ni kampuni inayoendesha mifuko ya uwekezaji wa pamoja hapa nchini. Mpaka sasa inaendesha mifuko mitano ambayo ni Mfuko wa Umoja, Mfuko wa Wekeza…

Continue Reading....

Mfumuko wa Bei kwa Mwezi Julai, 2016 Wapungua kwa Asilimia 5.1

Posted on: August 9, 2016 - jomushi
Mfumuko wa Bei kwa Mwezi Julai, 2016 Wapungua kwa Asilimia 5.1

Na Dotto Mwaibale MFUMUKO wa Bei wa Taifa kwa mwezi Julai, 2016 umepungua hadi asilimia 5.1 kutoka asilimia 5.5 ilivyokuwa mwezi Juni, 2016. Hayo yamebainishwa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari