Welcome to Official website for E- Utalii Conference. Its the eTourism & eMarketing Conference to revolutionize Tanzania Tourism Industry for Tanzanian Travel & Tours agency,…
Continue Reading....Category: Habari za Nyumbani
Dk. Bilal afanya mazungumzo na ujumbe wa Abort Fund
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza na ujumbe kutoka Abort Fund, Andy Wilson (katikati) na Dk. Ayub…
Continue Reading....Kiongozi wa Boko Haram aliyekuwa chini ya ulinzi atoweka
*Ni baada ya msafara wa Polisi Nigeria kushambuliwa IDARA ya Polisi nchini Nigeria, imethibitisha kuwa mshukiwa mmoja ambaye anaaminika kuwa kiongozi wa Kundi la Boko…
Continue Reading....Serikali yasema haijawafukuza madaktari
*Yakana kupokea tamko la madaktari Na Mwandishi Wetu NAIBU Waziri wa Afya, Lucy Nkya amesema tamko lililotolewa na Chama cha Madaktari Tanzania la kutoa saa…
Continue Reading....Rejia Mtema ni nyota inayongaa – Makinda
Na Mwandishi Maalumu SPIKA wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda amesema aliyekuwa Mbunge wa Viti wa Maalum mkoa wa Morogoro (CHADEMA) Bi. Regia Mtema ni…
Continue Reading....Mahakama ya Rufani Tanzania kusikiliza jinai 33
Na Magreth Kinabo – MAELEZO MAHAKAMA ya Rufani Tanzania itasikiliza jumla ya kesi 33 zinazohusu watu mbalimbali. Kesi hizo ambazo ni za madai na makosa…
Continue Reading....