Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Habari za Nyumbani
  • Page 104

Category: Habari za Nyumbani

TEA Kuendelea Kutatua Changamoto za Mazingira ya Elimu

Posted on: August 26, 2016 - jomushi
Post Tags: elimu
TEA Kuendelea Kutatua Changamoto za Mazingira ya Elimu

 Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Elimu Tanzania,Joel Laurent akiongea na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Kilosa, kamati ya shule ya Uleling’ombe,uongozi wa kijiji cha Uleling’ombe wakijadilana…

Continue Reading....

Hatimiliki 300,000 Kutolewa kwa Wakazi Morogoro…!

Posted on: August 26, 2016 - jomushi
Hatimiliki 300,000 Kutolewa kwa Wakazi Morogoro…!

  Na Salum Mwinyimkuu, Morogoro ZAIDI ya hatimiliki 300,000 za Ardhi zinatarajiwa kutolewa kwenye Wilaya za KILOMBERO, MALINYI na ULANGA mkoani Morogoro kupitia mradi wa kuwezesha…

Continue Reading....

Rais Magufuli Apokea Taarifa Maendeleo ya Ujenzi wa Kiwanda cha LNG

Posted on: August 22, 2016 - Yohana Chance
Rais Magufuli Apokea Taarifa Maendeleo ya Ujenzi wa Kiwanda cha LNG

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe Magufuli leo tarehe 22 Agosti, 2016 amepokea taarifa ya maendeleo ya mradi mkubwa wa ujenzi…

Continue Reading....

Serikali Yakomaa na Wanaopachika Mimba kwa Watoto…!

Posted on: August 19, 2016 - jomushi
Serikali Yakomaa na Wanaopachika Mimba kwa Watoto…!

   Wanahabari wakichukua taarifa hiyo.  Mwakilishi wa Shirika la Comic Relief Uk, DFID, Jane Miller, akizungumza katika mkutano huo wakati akimkaribisha Wazir Ummy Mwalimu (kulia)…

Continue Reading....

Safari za Anga Kuimarika, Rada Sita Kununuliwa…!

Posted on: August 19, 2016 - jomushi
Post Tags: Usafiri wa Anga
Safari za Anga Kuimarika, Rada Sita Kununuliwa…!

  WAZIRI wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano, Profesa Makame Mbarawa amesema Serikali iko katika hatua za mwisho za kutangaza zabuni kwa ajili ya ununuzi wa…

Continue Reading....

TAMWA Yawakutanisha Wanahabari Kanda ya Ziwa

Posted on: August 19, 2016 - jomushi
TAMWA Yawakutanisha Wanahabari Kanda ya Ziwa

  CHAMA cha Wanahabari Wanawake nchini (TAMWA), kimewakutanisha wanahabari kutoka mikoa ya Kanda ya Ziwa, kujadili namna mafunzo yaliyotolewa na chama hicho kwa wanahabari hao wakati…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari