TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars imevunja kambi na wachezaji wameruhusiwa kurejea kwenye klabu zao. Tanzania ilikuwa icheze na Chad kesho Uwanja…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Mourinho Aanza Kazi Manchester United Kabla ya Kukabidhiwa Timu
Meneja wa zamani wa Chelsea, Jose Mourinho anadaiwa kuanza kujipanga na Manchester United kama atachukua nafasi ya Louis van Gaal. Kwa mujibu wa jarida la…
Continue Reading....TFF Yaguswa na Kifo cha Abel Dhaira
Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salamu za rambirambi kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini Uganda (FUFA) kaufuatia…
Continue Reading....Hivi Ndivyo Zlatan Anavyosakwa na Timu za Uingereza
Mshambuliaji matata wa timu ya taifa ya Sweden Zlatan Ibrahimovic amesema klabu kadha za Ligi Kuu ya Uingereza zinamtaka. Kwa sasa anachezea mabingwa wa ligi…
Continue Reading....Waliokata Tiketi Mchezo wa Chad Kurudishiwa Mpunga Wao
Mashabiki wa soka waliokuwa wamenunua tiketi za mechi kati ya timu ya taifa ya Tanzania na Chad ambayo imetibuka watarejeshewa fedha zao. Rais wa Shirikisho…
Continue Reading....Timu ya Chad Yaingia Mitini, Ushindi wa Stars Waota Mbawa
Timu ya Taifa ya Chad ‘Les Sao’ imejiondoa katika michuano ya kuwania kufuzu kwa Fainali za Mataifa Afrika (AFCON) itakayofanyika mwaka 2017 nchini Gabon. Taarifa…
Continue Reading....