Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 79

Category: Michezo na Burudani

Msemaji wa Papa Wemba Aelezea Kifo Kilivyomkuta, Afia ‘Jukwaani’

Posted on: April 24, 2016 - jomushi
Msemaji wa Papa Wemba Aelezea Kifo Kilivyomkuta, Afia ‘Jukwaani’

TAARIFA ya kufariki kwa mwanamuziki nguli wa kiafrika Papa Wemba imepokewa kwa mshtuko mkubwa na mashabiki wake kote duniani. Video inayosambazwa katika mitandao ya kijamii…

Continue Reading....

Nguli wa Muziki Papa Wemba Afariki Dunia

Posted on: April 24, 2016 - Yohana Chance
Nguli wa Muziki Papa Wemba Afariki Dunia

Nyota wa muziki wa Soukous ambaye ni raia wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo- Papa Wemba amefariki dunia Papa Wemba ambaye jina lake halisi ni…

Continue Reading....

Yanga Vs Coastal Union Pambano Lavunjika, Azam Yatinga Fainali

Posted on: April 24, 2016April 25, 2016 - Yohana Chance
Yanga Vs Coastal Union Pambano Lavunjika, Azam Yatinga  Fainali

Azam imekuwa timu ya kwanza kutinga fainali ya kombe la Azam Sports Federation Cup kufuatia ushindi wa penati 5-3 dhidi ya Mwadui FC baada ya…

Continue Reading....

Manchester United Yatinga Fainali FA Kwa Mbinde

Posted on: April 23, 2016 - Yohana Chance
Manchester United Yatinga Fainali FA Kwa Mbinde

Klabu ya Manchester United Imefanikiwa kutinga hatua ya fainali ya michuano ya FA baada ya kuisambaratisha timu ya Everton katika mchezo wa nusu uliochezwa kwenye…

Continue Reading....

TFF Imeamua Haya Juu ya Ligi ya Bongo

Posted on: April 23, 2016 - Yohana Chance
TFF Imeamua Haya Juu ya Ligi ya Bongo

Kamati ya Mashindano ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limetangaza kuanza kwa ligi ndogo Mei 11, 2016 katika uwanja wa Karume jijini Dar…

Continue Reading....

Mamadou Sakho Achunguzwa na UEFA

Posted on: April 23, 2016 - Yohana Chance
Mamadou Sakho Achunguzwa na UEFA

Beki wa Liverpool Mamadou Sakho anachunguzwa na UEFA kwa kufeli ukaguzi wa madawa ya kulevya. Ijapokuwa raia huyo wa Ufaransa mwenye umri wa miaka 26…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari