Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 77

Category: Michezo na Burudani

Yanga Sc Yanusa Ubingwa, Azam Yaishusha Simba

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Yanga Sc Yanusa Ubingwa, Azam Yaishusha Simba

YANGA SC imetanua kwigo kileleni mwa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara kufuatia ushindi wa mabao 2-1 dhidi ya Mgambo JKT jioni ya leo Uwanja…

Continue Reading....

Vardy Kuikosa Manchester United Mwishoni mwa Wiki

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Vardy Kuikosa Manchester United Mwishoni mwa Wiki

Mshambuliaji wa Uingereza Jamie Vardy atakosa mechi ya klabu yake Leicester City dhidi ya Manchester United Jumapili baada ya kuongezewa adhabu kutokana na utovu wa…

Continue Reading....

Alfred Lukas Afisa Habari Mpya wa TFF

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Alfred Lukas Afisa Habari Mpya wa TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limemteua Alfred Lucas kuwa Afisa Habari na Mawasiliano mpya wa shirikisho kuanzaia leo Aprili 27, 2016. Alfred anachukua…

Continue Reading....

Kamati ya Nidhamu ya TFF Kukaa Jumapili

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Kamati ya Nidhamu ya TFF Kukaa Jumapili

Kikao cha Kamati ya Nidhamu ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kinatarajiwa kufanyika Jumapili, Mei Mosi 2016 jijini Dar es salaam. Kamati hiyo…

Continue Reading....

Msajili wa vilabu na Vyama vya Michezo Atoa Rai

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Msajili wa vilabu na Vyama vya Michezo Atoa Rai

Kwa mujibu wa sheria ya Baraza la Michezo ya mwaka 1968 na kama ilivyorekebishwa mwaka 1971, Msajili wa vilabu na vyama vya michezo ndiye mwenye…

Continue Reading....

Manchester City Washindwa Kuutumia Vyema Uwanja Wake Kwenye UEFA

Posted on: April 26, 2016April 26, 2016 - Yohana Chance
Manchester City Washindwa Kuutumia Vyema Uwanja Wake Kwenye UEFA

Ligi ya Mabingwa ulaya imeendelea kwa mchezo mmoja usiku wa kuamkia leo katika uwanja wa Etihad ambapo Man City waliikaribisha Madrid katika nusu fainali ya…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari