Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 76

Category: Michezo na Burudani

Ligi Kuu ya Uingereza Kuendelea Wikiendi Hii

Posted on: April 29, 2016 - Yohana Chance
Ligi Kuu ya Uingereza Kuendelea Wikiendi Hii

Ligi kuu ya soka ya England inaendelea tena hapo kesho kwa michezo kadhaa. Everton ni wenyeji wa Bournemouth, Newcastle United wanawaalika Cristal Palace,Stoke city dhidi…

Continue Reading....

Kamati ya Nidhamu ya TFF Kukutana Kesho

Posted on: April 29, 2016 - Yohana Chance
Kamati ya Nidhamu ya TFF Kukutana Kesho

KIKAO cha Kamati ya Rufaa ya Nidhamu ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kitafanyika Jumamosi Aprili 30, 2016 kuanzia saa 4.00 asubuhi kwenye ofisi za…

Continue Reading....

Wadau wa Michezo Waishitaki ARFA Kwa BMT

Posted on: April 28, 2016 - Yohana Chance
Wadau wa Michezo Waishitaki ARFA Kwa BMT

Katibu Mkuu wa baraza la Michezo Tanzania (BMT) Mohamed Kiganja amekutana na wadau wa Michezo Mkoani hapa na kukuta Lundo la lawama zikielekezwa kwa Viongozi…

Continue Reading....

Taekwondo Ilivyotikisha Jiji la Arusha

Posted on: April 28, 2016 - Yohana Chance
Taekwondo Ilivyotikisha Jiji la Arusha

Mashindano ya Taekwondo yamefanyika mwishoni mwa Jijini Arusha yakishirikisha zaidi ya vijana 60 wa Rika mbalimbali kutoka Arusha na Mkoa wa Kilimanjaro Licha ya kuwepo…

Continue Reading....

Atletico Madrid Watanguliza Mguu Mmoja Fainali ya UEFA

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Atletico Madrid Watanguliza Mguu Mmoja Fainali ya UEFA

Klabui ya Atletico Madrid imefanikiwa kuibuka na ushindi wa bao 1 – 0 dhidi ya Bayern Munich katika mchezo wa Nusu fainali ya ligi mabingwa…

Continue Reading....

Kamati ya Mashindano ya FA Imezipiga Faini Yanga na Coastal Union

Posted on: April 27, 2016 - Yohana Chance
Kamati ya Mashindano ya FA Imezipiga Faini Yanga na Coastal Union

Coastal Union imepoteza mechi ya nusu fainali ya Kombe la Shirikisho dhidi ya Yanga baada ya washabiki wake kuwa chanzo cha Mwamuzi kuvunja mchezo huo…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari