Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 71

Category: Michezo na Burudani

FIFA Yapanga Kuishusha Simba Daraja, Yailima Faini

Posted on: May 6, 2016 - Yohana Chance
FIFA Yapanga Kuishusha Simba Daraja, Yailima Faini

Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), limeipiga faini ya Franc 2,000 za Uswisi (sawa na Sh 4,582,000 za Tanzania), Klabu ya Simba baada ya kutiwa…

Continue Reading....

Buku Tano tu Kuwaona Yanga Dhidi ya Waangola

Posted on: May 6, 2016 - Yohana Chance
Buku Tano tu Kuwaona Yanga Dhidi ya Waangola

Uongozi wa Young Africans ya Dar es Salaam, umekamilisha maandalizi yote muhimu ya mchezo dhidi ya GD Sagrada Esperanca ya Angola wa kufuzu hatua ya…

Continue Reading....

Liverpool Yatinga Fainali ya EUROPA Kibabe

Posted on: May 6, 2016 - Yohana Chance
Liverpool Yatinga Fainali ya EUROPA Kibabe

Jurgen Klopp amefanikiwa kuifikisha Liverpool katika hatua ya fainali ya ligi ya EUROPA baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 3-0 dhidi ya Villarreal. Wakiwa…

Continue Reading....

Waamuzi Mechi ya Yanga dhidi ya Esperanca Hadharani

Posted on: May 5, 2016May 5, 2016 - Yohana Chance
Waamuzi Mechi ya Yanga dhidi ya Esperanca Hadharani

Mwamuzi Joseph Odartei Lamptey, Jumamosi Mei 7, 2016 anatarajiwa kuwa mwamzi wa kati katika mchezo wa kimataifa kuwania Kombe la Shirikisho Barani Afrika utakaozikutanisha timu…

Continue Reading....

Erasto Nyoni Aighalimu Timu ya Azam

Posted on: May 5, 2016 - Yohana Chance
Erasto Nyoni Aighalimu Timu ya Azam

Timu ya Azam FC ya Dar es Salaam, imenyang’anywa ushindi wa pointi tatu na mabao matatu uliyoupata katika mechi Na. 156 ya Ligi Kuu ya…

Continue Reading....

Marekebisho ya Kanuni za Ligi Kuu 2016/2017

Posted on: May 5, 2016May 5, 2016 - Yohana Chance
Marekebisho ya Kanuni za Ligi Kuu 2016/2017

Bodi ya Ligi Kuu ya Shirikisho la Soka (TFF) imezipongeza timu za Ligi Kuu Tanzania Bara kwa kushiriki na kufanya msimu wa Ligi Kuu Bara…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari