Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Emil Malinzi ameipongeza timu ya soka ya Young Africans kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya Vodacom…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Fainali ya Kombe la Shirikisho Azam Vs Yanga Yaendelea Kukamilika
Fainali za kuwania Kombe la Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) sasa zitafanyika Juni 11, 2016. Mchezo huo wa…
Continue Reading....Waziri Nape Aweka Baraka Zake Kwa Serengeti Boys
Mwenyekiti wa Baraza la Michezo Tanzania (BMT), Dioniz Malinzi amewataka wachezaji wa timu ya soka ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka…
Continue Reading....Platini Yamemfika Pabaya, Sasa Kuachia Ngazi
Michel Platini atajiuzulu kuwa rais wa shirikisho la kandanda barani Ulaya – UEFA baada ya mahakama ya usuluhishi wa migogoro ya michezo kukubali aendelee na…
Continue Reading....Meneja wa Liverpool Ajuta Kuwaalika Mashabiki Kwenda Basel
Meneja wa Liverpool Jurgen Klopp amesema anajutia kuwaambia mashabiki wa klabu hiyo, hata wasio na tiketi, wajiandae kwenda Basel kutazama fainali ya Europa League. Liverpool…
Continue Reading....Cameroon Yapata Pigo Jingine, Kulikoni?
Kipa wa timu ya taifa ya Cameroon upande wa wanawake ameaga dunia baada ya kuzirai wakati wa mazoezi, Shirikisho la soka la Cameroon limesema.Jeanine Christelle…
Continue Reading....