Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 68

Category: Michezo na Burudani

Mkwasa: Stars Yasasa Itakua si Mchezo

Posted on: May 13, 2016 - Yohana Chance
Mkwasa: Stars Yasasa Itakua si Mchezo

Kocha Mkuu wa timu ya soka Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa Mei 18, 2016 atarajiwa kutangaza kikosi cha wachezaji wake wakaokwenda Kenya kwenye mchezo…

Continue Reading....

Rihanna Kusaidia Ada Watoto Wasiojiweza

Posted on: May 13, 2016May 13, 2016 - Yohana Chance
Rihanna Kusaidia Ada Watoto Wasiojiweza

Mwanamuziki Nyota Rihanna amejitolea kufadhili elimu ya wanafunzi kupitia wakfu wake, Hatua hiyo inaamanisha kwamba watu kutoka jamii zisizojiweza watapata msaada wa kulipa ada ya…

Continue Reading....

Meneja wa Klabu ya Everton Atimuliwa

Posted on: May 12, 2016 - Yohana Chance
Meneja wa Klabu ya Everton Atimuliwa

Klabu ya Everton imemtimua meneja wa klabu hiyo Roberto Martinez baada ya kuifunza klabu hiyo kwa miaka mitatu. Kilabu hiyo ya Martinez ilio katika nafasi…

Continue Reading....

Serengeti Boys Yatua Goa Salama

Posted on: May 12, 2016 - Yohana Chance
Serengeti Boys Yatua Goa Salama

Timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys imetua salama jijini Goa, India kwa ajili michuano maalumu ya…

Continue Reading....

CAF Yaweka Hadharani Waamuzi Mchezo wa Ghana Dhidi ya Ethiopia

Posted on: May 12, 2016May 12, 2016 - Yohana Chance
CAF Yaweka Hadharani Waamuzi Mchezo wa Ghana Dhidi ya Ethiopia

Shirikisho la Soka Afrika (CAF), limewateua waamuzi wanne kuchezesha mchezo Na. 27 kati ya Ethiopia dhidi ya Ghana kuwania kufuzu fainali za Kombe la Mataifa…

Continue Reading....

Serengeti Boys Yapaa Kuelekea Goa

Posted on: May 11, 2016 - Yohana Chance
Serengeti Boys Yapaa Kuelekea Goa

Timu ya soka ya vijana wa Tanzania wenye umri wa chini ya miaka 17 maarufu kama jina la Serengeti Boys imeondoka leo Jumatano Mei 11,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari