Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 65

Category: Michezo na Burudani

Mkwasa Ataja Majembe Yake Tayari Kuwavaa Wamisri

Posted on: May 18, 2016 - Yohana Chance
Mkwasa Ataja Majembe Yake Tayari Kuwavaa Wamisri

Kocha Mkuu wa timu ya Soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa ameita kikosi cha wachezaji 27 watakaounda Taifa Stars ambacho kinajiandaa kucheza Misri Juni 4,…

Continue Reading....

TP Mazembe Wasonga Kwa Goli la Ugenini, Yanga Vipi Leo?

Posted on: May 18, 2016 - Yohana Chance
TP Mazembe Wasonga Kwa Goli la Ugenini, Yanga Vipi Leo?

TP Mazembe wameendelea mbele katika michuano ya kombe la shirikisho barani Afrika baada ya kupata goli la ugenini dhidi ya Stade Gabesien. Ilikuwa baada ya…

Continue Reading....

Manchester United Watupwa Europa Ligi

Posted on: May 18, 2016May 18, 2016 - Yohana Chance
Manchester United Watupwa Europa Ligi

Marcus Rashford alikuwa kivutio baada ya Manchester United kufuzu moja kwa moja kucheza michuano ya ligi ndogo ya ulaya (Europa League) baada ya kuwachapa Bournemouth…

Continue Reading....

Ligi Imeisha Lakini Faini Kama Kawa, Chelsea, Spurs Zapigwa Rungu

Posted on: May 17, 2016 - Yohana Chance
Ligi Imeisha Lakini Faini Kama Kawa, Chelsea, Spurs Zapigwa Rungu

Chelsea na Tottenham wamepigwa faini kutokana na mashtaka matatu ya kushindwa kuwadhibiti wachezaji wao katika sare ya 2-2 katika uwanja wa Stamford Bridge. Chelsea watalazimika…

Continue Reading....

Serengeti Boys Yachinja Mtu India

Posted on: May 17, 2016 - Yohana Chance
Serengeti Boys Yachinja Mtu India

Timu ya soka ya Taifa ya Vijana wenye umri wa chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ leo Mei 17, 2016 imechanua vema baada ya kuilaza…

Continue Reading....

Serengeti Boys Kushuka Dimbani kesho

Posted on: May 16, 2016 - Yohana Chance
Serengeti Boys Kushuka Dimbani kesho

Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 maarufu kama Serengeti Boys, Bakari Shime amesema hana wasiwasi kuwavaa India-wenyeji…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari