Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 62

Category: Michezo na Burudani

Louis van Gaal Atimuliwa Man United , Mourinho Ndani

Posted on: May 23, 2016May 23, 2016 - Yohana Chance
Louis van Gaal Atimuliwa Man United , Mourinho Ndani

Meneja wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amefukuzwa kazi kama meneja wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa kocha wa Chelsea Jose Mourinho…

Continue Reading....

Rais wa FIFA Akunwa na Ubingwa wa Wanajangwani

Posted on: May 23, 2016 - Yohana Chance
Rais wa FIFA Akunwa na Ubingwa wa Wanajangwani

Rais wa Shirikisho la Soka la Kimataifa (FIFA), Gianni Infantino, ameipongeza timu ya soka Young Africans ya Dar es Salaam, kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu…

Continue Reading....

Tanga Warudi Mchangani Timu zote Zashuka Daraja

Posted on: May 23, 2016 - Yohana Chance
Tanga Warudi Mchangani Timu zote Zashuka Daraja

Kutokana na matokeo ya michezo ya Mwisho ya ligi kuu Tanzania bara Kumalizika mwishoni mwa Wiki, timu zote za Tanga, Mgambo JKT, African Sports na…

Continue Reading....

Sevilla Waangukia Pua kwa Barcelona

Posted on: May 23, 2016 - Yohana Chance
Sevilla Waangukia Pua kwa Barcelona

Klabu ya soka ya Barcelona imetwaa kombe la Mfalme Hispania, maarufu kama Copa del Rey katika Fainali ya 114.baada ya kuilaza klabu ya Sevilla Bao…

Continue Reading....

Manchester United Wabeba Ndoo ya FA

Posted on: May 22, 2016 - Yohana Chance
Manchester United Wabeba Ndoo ya FA

Manchester United wameshinda Kombe la FA baada ya kuwalaza Crystal Palace 2-1 katika fainali iliyochezewa uwanja wa Wembley.Ni mara yao ya kwanza kushinda kikombe hicho…

Continue Reading....

Airtel Kuinua Michezo Kwa Vijana wa Tanzania

Posted on: May 21, 2016 - Yohana Chance
Airtel Kuinua Michezo Kwa Vijana wa Tanzania

Kampuni ya Airtel Tanzania jana Ijumaa Mei 20, 2016 imekutana na Shirikisho la Mpira Tanzania (TFF) kuzungumzia mipango ya maendeleo wa mpira wa miguu nchini…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari