KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, imezidi kujiendesha kisasa zaidi baada ya leo kuandika historia mpya ya ufunguzi wa duka lake la…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Je Yanga Sc Kuing’oa TP Mazembe ?
Droo ya kupanga makundi ya timu zitakazo chuana kuwania kufuzu hatua ya nusu fainali ya kombe la shirikisho Afrika imefanyika leo, huku wawakilishi wa Tanzania…
Continue Reading....Viingilio Mchezo wa FA Vitajwa, Buku Tano Tu
Fainali za Kombe la Shirikisho maarufu kama Azam Sports Federation Cup (ASFC) zinatarajiwa kufanyika kesho Mei 25, 2016 kwa kuzikutanisha timu za Young Africans na…
Continue Reading....FIFA Timua Timua ya Majipu Imemkumba Naibu Katibu
Shirikisho la soka duniani FIFA limemtimua naibu katibu wake Markus Kattner kwa kujihusisha na ukiukwaji wa matumizi ya siri ya mamilioni ya dola. Kattnet raia…
Continue Reading....Israel Nkongo Kutoa Maamuzi Mchezo wa Yanga na Azam
Mwamuzi mahiri nchini, Israel Mujuni Nkongo wa Dar es Salaam, Jumatano Mei 25, 2016 ameteuliwa kuwa mwamuzi atakayechezesha mchezo wa fainali za Kombe la Shirikisho…
Continue Reading....Waamuzi 40 Kuchezesha Ligi ya Mabingwa wa Mikoa
Kamati ya Waamuzi ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), limeteua waamuzi 40 watakaochezesha Ligi ya Mabingwa Mikoa (RCL) inayoanza leo Mei 23 katika vituo vinne…
Continue Reading....