Michuano ya Ligi ya Mabingwa wa Mikoa (RCL) msimu wa 2015/2016 inaendelea vizuri katika vituo vinne vya Kagera, Morogoro, Singida na Njombe ambapo itafikia tamati…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Kocha Mkuu wa Taifa Stars Apanga Hesabu za Waarubu
Kocha Mkuu wa timu ya soka ya Tanzania, Charles Boniface Mkwasa amesema kwamba mchezo ujao kati ya Mapharao wa Misri na Taifa Stars, utakuwa ni…
Continue Reading....Real Madrid Mabingwa Wa Historia UEFA
Klabu ya Real Madrid Imefannikiwa kutwaa kwa mara nyingine kombe la ligi ya mabingwa ulaya mara baada ya kuifunga Atletico kwa penati 5-3 Timu hizo…
Continue Reading....Waganda Wakabidhiwa Mchezo wa Stars na Kenya
Waamuzi watatu wa soka kutoka Uganda, ndio wakaochezesha mchezo wa kirafiki wa kimataifa kati ya Taifa Stars ya Tanzania na Harambee Stars ya Kenya utakaofanyika…
Continue Reading....Dili la Mourinho Kutua Manchester United Lakamilika
Makubaliano ya mkufunzi Jose Mourinho kuwa kocha wa kilabu ya Man United msimu ujao yameafikiwa baada ya mazungumzo ya siku tatu. Majadiliano kati ya ajenti…
Continue Reading....Kama Upangaji wa Matokeo Hii Kiboko, Timu yachapwa bao 44
Klabu moja ya soka nchini Ecuador imepata ushindi mkubwa ambao ukiidhinishwa basi itakuwa rekodi mpya ya ufungaji mabao duniani. Klabu hiyo ya Pelileo Sporting Club…
Continue Reading....