Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 53

Category: Michezo na Burudani

Yanga Yatua Uturuki Ikijiwinda dhidi ya TP Mazembe

Posted on: June 21, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yatua Uturuki Ikijiwinda dhidi ya TP Mazembe

YANGA SC tayari imewasili mjini Antalya, Uturuki kwa kambi ya siku tano kujiandaa na mchezo wake wa pili wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika…

Continue Reading....

Ufaransa Yapanwa na Switzland Euro

Posted on: June 20, 2016 - Yohana Chance
Ufaransa Yapanwa na Switzland Euro

Mechi kali ilikuwa ya vuta nikuvute kati ya Switzland na wenyeji wa michuano hiyo Ufaransa lakini wakaishia kutoka uwanjani pasipo kutikisa nyavu yaani sare ya…

Continue Reading....

Yanga Yachapwa, Yahamisha Majeshi Kwa Mazembe

Posted on: June 20, 2016June 20, 2016 - Yohana Chance
Yanga Yachapwa, Yahamisha Majeshi Kwa Mazembe

Wawakilishi wa Tanzania katika Kombe la Shirikisho la Soka Afrika, Yanga ya Jangwani usiku wa kuamkia leo walikumbana na kibano cha bao moja kwa bila…

Continue Reading....

Mashabiki Wapagawa na Albam Mpya ya Beyonce

Posted on: June 19, 2016 - Yohana Chance
Mashabiki Wapagawa na Albam Mpya ya Beyonce

Albamu mpya ya Lemonade iliotolewa na Beyonce Knowles imeorodheshwa miongoni mwa albamu zilizopendwa sana baada ya kutolewa mwaka huu,lakini ,kipande cha albamu hiyo kilichotolewa wiki…

Continue Reading....

Lukaku Aipeleka Ubelgiji Robo Fainali EURO

Posted on: June 19, 2016 - Yohana Chance
Lukaku Aipeleka Ubelgiji Robo Fainali EURO

Romelu Lukaku alifunga mabao mawili huku timu ya taifa la Ubelgiji ikipata ushindi wake wa kwanza katika michuano ya Euro2016 na kuharibu fursa ya timu…

Continue Reading....

Suala la Kessy Limezidi Kuchukua Sura Mpya

Posted on: June 19, 2016June 19, 2016 - Yohana Chance
Suala la Kessy Limezidi Kuchukua Sura Mpya

Shirikisho la Soka la Afrika (Caf) limetoa ufafanuzi kuhusiana na beki wa Yanga, Hassan Kessy kuhusu mechi ya Kombe la Shirikisho kati ya Yanga dhidi…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari