Timu ya soka ya Vijana ya Shelisheli, inatarajiwa kuwasili leo kwa ajili ya mchezo dhidi ya timu ya Serengeti Boys. Mchezo wa timu hizi mbili…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Victor Wanyama Sasa Rasmi Kuichezea Tottenham
Kiungo na Nahodha wa Harambee stars Victor Wanyama amekamilisha rasmi uhamisho wake wa kwenda Tottenham akitokea Southampton kwa ada ya uhamisho ya paundi milioni 11.…
Continue Reading....Arsenal Kwa Vardy Ndio Basi Tena, Leicester Yampa Mkataba Mnono
Mshambuliaji wa Uingereza na Leicester Jamie Vardy amekubali kusaini Mkataba mpya na viongozi wa ligi ya Uingereza Leicester. Leicester imesema kuwa mchezaji huyo wa miaka…
Continue Reading....Chile Uso Kwa Uso na Argentina Fainali ya Copa America
Katika Copa Amerika timu ya Chile imeiambaratisha Colombia kwa kuifunga magoli 2-0 katika Nusu Fainali Alfajiri ya leo Uwanja wa Soldier Field mjini Chicago, Illinois,…
Continue Reading....Italia Yachapwa Ila Yasonga Mbele
Jamhuri ya Ireland imeifunga Italis bao 1-0 bao lililofungwa na Robbie Brady katika mchezo wa Kundi E Euro 2016 Uwanja wa Pierre-Mauroy mjini Villeneuve d’Ascq,…
Continue Reading....Ronaldo Amnyang’anya Mtangazaji Maiki na Kuitupa
Wakati Mtangazaji wa Iceland amefurahi kweli kweli kwa Timu yake kufuzu, Mtangazaji Mreno yeye anaugulia maumivu ya moyo kwa tukio alilofanyiwa na Ronaldo na kumnyang’anya…
Continue Reading....