Ryan Giggs amefikisha kikomo cha muda wake wa kuhudumu katika klabu ya Manchester United baada ya kukubali kuondoka kupitia makubaliano. United inatarajiwa kutoa taarifa rasmi…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Hii Serengeti Boys Si Mchezo,Yapiga Mtu 6
TIMU ya taifa ya vijana ya Tanzaia chini ya umri wa miaka 17, Serengeti Boys imeshinda mabao 6-0 dhidi ya Shelisheli katika mchezo wa marudiano…
Continue Reading....Ureno Yachapa Mtu Robo Fainali ya Euro
Ureno imetinga hatua ya nusu fainali katika michuano ya Euro inayoendelea nchini Ufaransa na kuwa nchi ya kwanza kufuzu katika hatua hiyo baada ya kuwafunga…
Continue Reading....Zlatan Anakaribia Kutua Manchester United
Mshambuliaji nyota kutoka Sweden Zlatan Ibrahimovicn anatarajiwa kukamilisha uhamisho wake kujiunga an Manchester United wiki hii. Mchezaji huyo wa umri wa miaka 34, kwa sasa…
Continue Reading....Serengeti Boys Ndani ya Pipa Kuelekea Shelisheli
Timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imeondoka leo jijini Dar es Salaam alfajiri ya saa 9 kuelekea Seychelles kwa ajili…
Continue Reading....Ureno Ipo Fiti Kuivaa Poland Robo Fainali
Katika mwendelezo wa michuano ya Euro 2016 inayoendelea huko ufaransa leo kuna mchezo wa kuvunja chuma pale Poland na Ureno wanakutana katika mchezo wa robo…
Continue Reading....