Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 46

Category: Michezo na Burudani

Muro wa Yanga Afungwa Mwaka Mmoja

Posted on: July 8, 2016July 8, 2016 - Yohana Chance
Muro wa Yanga Afungwa Mwaka Mmoja

MKUU wa Idara ya Habari na Mawasiliano wa Yanga SC, Jerry Muro amefungiwa mwaka mmoja kujihusisha na masuala ya soka pamoja na kutozwa faini ya…

Continue Reading....

Ufaransa Kuikabili Ureno Fainali ya Euro 2016

Posted on: July 8, 2016 - Yohana Chance
Ufaransa Kuikabili Ureno Fainali ya Euro 2016

Ufaransa imetinga katika hatua fainali ya Kombe la Mataifa barani Ulaya kwa mwaka huu baada ya kuifunga Ujerumani 2 – 0. Mshambuliaji Antoine Griezmann ndiye…

Continue Reading....

Cristiano Ronaldo Akatisha Ndoto za Wales

Posted on: July 7, 2016 - Yohana Chance
Cristiano Ronaldo Akatisha Ndoto za Wales

Ureno imekuwa nchi ya kwanza kuingia fainali ya michuano ya Euro baada ya kuzima ndoto za Wales kwa kuichapa magoli 2 – 0 katika mechi…

Continue Reading....

Udanganyifu Wampeleka Jela Lionel Messi

Posted on: July 6, 2016 - Yohana Chance
Udanganyifu Wampeleka Jela Lionel Messi

Mchezaji nyota wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amehukumiwa kifungo cha miezi 21 jela baada ya kupatikana na makosa ya kutumia ulaghai wakati wa ulipaji…

Continue Reading....

Raia wa Hispania Atua Azam FC Kufanya Majaribio

Posted on: July 6, 2016 - Yohana Chance
Raia wa Hispania Atua Azam FC Kufanya Majaribio

KIPA raia wa Hispania, Juan Jesus Gonzalez, ametua nchini jana mchana, tayari kabisa kufanya majaribio ya kujiunga na Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati…

Continue Reading....

Kocha wa Timu ya Taifa Argentia Aacha Kazi

Posted on: July 6, 2016 - Yohana Chance
Kocha wa Timu ya Taifa Argentia Aacha Kazi

Kocha wa Timu ya Taifa ya Argentina ambayo ilipigwa na Chile katika Fainali za Copa America amebwaga manyanga. Gerardo Martino mwenye miaka 53 katika taarifa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari