Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 41

Category: Michezo na Burudani

Timu ya Misuni Ya Yapokwa Pointi Kwa Kuchezesha Mamruki

Posted on: July 20, 2016 - Yohana Chance
Timu ya Misuni Ya Yapokwa Pointi Kwa Kuchezesha Mamruki

Klabu ya Stand Misuna imepoteza ushindi kwa mechi zote ambazo imemchezesha mchezaji Brown Chalamila kwa jina la Costa Bryan Bosco, kwa mujibu wa Kamati ya…

Continue Reading....

TFF Nayo Yachangia Madawati 200 Ili Kuimalisha Elimu

Posted on: July 20, 2016July 20, 2016 - Yohana Chance
TFF Nayo Yachangia Madawati 200 Ili Kuimalisha Elimu

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), limetoa madawati 200 ikiwa ni sehemu ya mapato ya Ngao ya Hisani utakaochezwa Agosti 17, 2016. TFF inaunga…

Continue Reading....

Usajili Waendelea Kutikisha Vilabu Ulaya

Posted on: July 20, 2016 - Yohana Chance
Usajili Waendelea Kutikisha Vilabu Ulaya

Soko la usajili linaendelea kushika kasi kubwa kwa vilabu vyote kuhakikisha vinahajiimalisha mapema kabla ya ligi kuanza mwezi ujao Klabu ya Norwich City imekamilisha usajili…

Continue Reading....

Manchester United Watua China Kujiandaa na Ligi Kuu

Posted on: July 20, 2016 - Yohana Chance
Manchester United Watua China Kujiandaa na Ligi Kuu

Kikosi cha Mashetani wekundu Manchester united kimeenda China katika kujiandaa na msimu mpya.Wakiwa huko China, United watacheza mechi mbili ya kwanza watacheza na klabu ya…

Continue Reading....

Duu Kwa Ratiba Hii Simba na Yanga Watachomoa Kweli ?

Posted on: July 19, 2016July 19, 2016 - Yohana Chance
Duu Kwa Ratiba Hii Simba na Yanga Watachomoa Kweli ?

Ratiba ya Ligi Ligi Kuu Tanzania Bara Maalufu Vodacom imetolewa rasmi na kufanya Timu zote zinaanza maandalizi mapema kabla ya kipute hicho kuanza

Continue Reading....

Borussia Dortmund Yaanza Kulisakama Jiji la Manchester

Posted on: July 19, 2016 - Yohana Chance
Borussia Dortmund Yaanza Kulisakama Jiji la Manchester

Maandalizi ya ligi kuu ya Ujerumani Bundesliga yamepamba moto, Borussia Dortmund yaelekea barani Asia kwa michezo ya kirafiki dhidi ya Manchester United na Manchester City…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari