Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 40

Category: Michezo na Burudani

Klabu ya Napoli Waibania Atletico Kwa Higuain

Posted on: July 22, 2016July 22, 2016 - Yohana Chance
Klabu ya Napoli Waibania Atletico Kwa Higuain

Rais wa klabu ya Napoli Aurelio De Laurentiis amebainisha kuwa walikataa ofa ya euro milioni 60 na wachezaji wawili au watatu kutoka Atletico Madrid kwa…

Continue Reading....

CAF Yapata Mdhamini Mpya Kutoka Nchini Ufaransa

Posted on: July 22, 2016July 22, 2016 - Yohana Chance
CAF Yapata Mdhamini Mpya Kutoka Nchini Ufaransa

Shirikisho la Soka barani Africa (CAF) limepata mdhamini mpya baada ya kumalizika kwa mkataba wake na kampuni ya mawasiliano ya Orange. Orange imekuwa mdhamini mkuu…

Continue Reading....

Shirikisho la Muziki Lazungumza na Naibu Waziri Sanaa na Michezo

Posted on: July 22, 2016 - jomushi
Post Tags: Sekta ya Sanaa
Shirikisho la Muziki Lazungumza na Naibu Waziri Sanaa na Michezo

Katibu Mkuu mpya wa Shirikisho la Muziki Tanzania Bw. John Kitime, Julai 21, 2016, amefanya mazungumzo marefu na Naibu Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Annastazia Wambura ofisini…

Continue Reading....

Taifa Stars Kuingia Kambini Wiki Ijayo Kujiandaa na AFCON

Posted on: July 21, 2016July 21, 2016 - Yohana Chance
Taifa Stars Kuingia Kambini Wiki Ijayo Kujiandaa na AFCON

Kocha Mkuu wa timu ya Mpira wa Miguu ya Tanzania ‘Taifa Stars’, Charles Boniface Mkwasa Jumanne ya Julai 26, 2016 anatarajia kutangaza kikosi kwa ajili…

Continue Reading....

Fernando Santos Apewa Mkataba Mnono hadi 2020

Posted on: July 21, 2016 - Yohana Chance
Fernando Santos Apewa Mkataba Mnono hadi 2020

Meneja wa sasa wa klabu ya Sunderland Sam Allardyce anatarajiwa kuthibitishwa kuwa Meneja mpya wa Timu ya Taifa ya England . Bodi ya Chama cha…

Continue Reading....

Guardiola Apokelewa kwa Kichapo Manchester City

Posted on: July 21, 2016 - Yohana Chance
Guardiola Apokelewa kwa Kichapo Manchester City

Manchester City, wakicheza mechi yao ya kwanza ya kujiandaa kwa msimu mpya chini ya meneja mpya Pep Guardiola, wamechapwa bao moja kwa bila na klabu…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari