5.50am:Na mwenge wa Olympic uliowasili katika uwanja wa Mariccana unapokezwa aliyekuwa mwanariadha wa mbio za Marathon nchini Brazil Vanderlei Cordeiro de Lima – Ambaye anauwasha…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Jeuri ya Fedha Yaanza Kutema cheche Msimbazi wavuta Mshambuliaji
SIKU chachea baada ya mfanyabiashara maarufu nchini na mwanachama wa Simba SC, Mohammed Dewji ‘Mo’ kuichangia klabu hiyo shilingi milioni 100 za usajili, hatimaye wamefanikiwa…
Continue Reading....Ahmed Musa wa Leicester City Apiga Mbili mwenyewe Mbele ya Barcelona
Mchezaji ghali zaidi kununuliwa na Leicester City Ahmed Musa, aliyenunuliwa pauni milioni 16 na kuvunja rekodi ya klabu hiyo, amewafungia mabao yote mawili katika mechi…
Continue Reading....Masaa Machache Yasalia Kabla Pazi la Olimpiki Kufunguka
Mashindano ya Olimpiki mjini Rio kufunguliwa rasmi kesho Ijumaa, lakini hali bado haijakaa vizuri katika mazingira ya michezo hiyo. Vilabu mbali mbali barani Ulaya vinajiweka…
Continue Reading....Matnez Apewa Kazi ya Kumnoa Mshambuliaji Eden Hazard
Meneja wa zamani wa Everton, Wigan na Swansea Roberto Martinez ameteuliwa kuwa meneja mkuu wa timu ya taifa ya Ubelgiji. Martinez, 43, ambaye ni raia…
Continue Reading....TV1 Tanzania Kurusha Live Ligi Kuu ya Uingereza, EPL
Mkuu wa TV 1, Joseph Sayi (katikati),akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari Dar es Salaam leo, kuhusu ,Kituo cha Televisheni cha TV1 Tanzania kuanza…
Continue Reading....