Sadio Mane aliifungia Liverpool bao lake la kwanza walipowabana vigogo wa Uhispania Barcelona 4-0 katika mechi ya kirafiki huko Wembley. Mane hakuogopa kuwepo kwa wachezaji…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Manchester United Waanza Msimu kwa Kubebea Ndoo
Klabu ya Manchester United Wameanza vyema msimu wa ufunguzi wa Ligi baada ya Kuisambaratisha Leicester city kwenye Mchezo wa ngao ya Jamii Uwanja wa Wembley…
Continue Reading....Manchester United Wamalizana na Juve Juu ya Pogba
Klabu ya Juventus ya Italia imemruhusu mshambulizi wake Paul Pogba kufanyiwa vipimo vya afya Old Trafford katika moja ya ishara kuwa huenda Manchester United imeafikiana…
Continue Reading....Serengeti Boys Wakomaa Sauzi na Kutoa Sare
Timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17 ‘Serengeti Boys’ imefanikiwa kupata sare ya goli 1-1 dhidi ya timu ya vijana ya…
Continue Reading....Marekani Waanza Kubeba Medali za Olimpiki
Mmarekani Ginny Thrasher amekuwa mwanamichezo wa kwanza kushinda dhahabu katika Michezo ya Olimpiki Rio baada ya kutwaa ushindi katika shindano la kulenga shahaba kwa bunduki…
Continue Reading....Azam Fc Wavuta Vifaa Vipya Kuimalisha Ulinzi
KLABU Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati Azam FC, leo jioni imeingia mkataba na mabeki wawili, Mghana Daniel Amoah na Mzimbabwe, Bruce Kangwa, kwa ajili…
Continue Reading....