Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 33

Category: Michezo na Burudani

Ratiba ya Ligi Kuu Bongo Imebadilika kama Hivi

Posted on: August 11, 2016 - Yohana Chance
Ratiba ya Ligi Kuu Bongo Imebadilika kama Hivi

Kutokana na sababu mbalimbali, Bodi ya Ligi (TPLB) ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), imelazimika kubadili Ratiba ya Ligi Kuu kwa michezo kadhaa…

Continue Reading....

Kama Vipi Tuachie Timu Yetu Mbona Itabeba Makombe

Posted on: August 11, 2016August 11, 2016 - Yohana Chance
Kama Vipi Tuachie Timu Yetu Mbona Itabeba Makombe

Meneja wa klabu ya Arsenal ya Uingereza, Arsene Wenger amesema kuwa hatma yake katika klabu hiyo ya Emirates inategemea jinsi matokeo ya klabu hiyo msimu…

Continue Reading....

Yanga Kutuma Utetezi Wao TFF Kuhusu Usajili

Posted on: August 9, 2016 - Yohana Chance
Yanga Kutuma Utetezi Wao TFF Kuhusu Usajili

Dirisha la usajili kwa timu zinazoshiriki Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Ligi Daraja la Kwanza la StarTimes na Ligi Daraja la Pili msimu wa…

Continue Reading....

Simba ya Mo Yapongezwa na TFF

Posted on: August 9, 2016 - Yohana Chance
Simba ya Mo Yapongezwa na TFF

Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), linachukua nafasi hii kuipongeza Klabu ya Simba ya Dar es Salaam kwa kufikisha umri wa miaka 80 tangu…

Continue Reading....

Pogba Aingia Kwenye Orodha ya Wachezaji Ghali Duniani

Posted on: August 9, 2016 - Yohana Chance
Pogba Aingia Kwenye Orodha ya Wachezaji Ghali Duniani

Paul Pogba amesema huu “ndio wakati bora zaidi wa kurejea Old Trafford” baada yake kukamilisha kuhamia Manchester United kwa kununuliwa £89m kutoka Juventus, ambayo ni…

Continue Reading....

Simba Sc Yaisambaratisha AFC Leopard Taifa

Posted on: August 8, 2016 - Yohana Chance
Simba Sc Yaisambaratisha AFC Leopard Taifa

SIMBA SC imesherehekea vyema miaka 80 jioni ya leo baada ya kuifunga AFC Leopard ya Kenya mabao 4-0 katika mchezo wa kirafiki Uwanja wa Taifa,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari