Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 327

Category: Michezo na Burudani

Chaka Khan atembelea Clouds FM Tanzania

Posted on: July 22, 2011 - jomushi
Chaka Khan atembelea Clouds FM Tanzania

Mkurugenzi wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga akimkalibisha mgeni wake, Mwanamuziki mkongwe kutoka nchini Marekani, Chaka Khan alipotembelea ofisi hizo Dar es Salaam. Mwanamuziki huyo…

Continue Reading....

‘FFU’ bendi waja na zawadi ya uhuru wa Tanzania

Posted on: July 21, 2011 - jomushi
‘FFU’ bendi waja na zawadi ya uhuru wa Tanzania

Kasha la wimbo wa bongo tambarare kama linavyoonekana pichani BENDI maarufu ya muziki wa dansi barani Ulaya, Ngoma Africa Band, aka ‘FFU’ imeanza shamra shamra…

Continue Reading....

Azam FC kukipiga na Coast Union Tanga

Posted on: July 20, 2011 - jomushi
Azam FC kukipiga na Coast Union Tanga

Nembo ya Azam FC Na Jaffer Idd TIMU ya Azam FC Ijumaa inatarajia kwenda Tanga kwa mchezo wa kirafiki dhidi ya timu ya mpya katika…

Continue Reading....

Miss utalii Tanzania 2011/12 kuzinduliwa Dodoma

Posted on: July 20, 2011 - jomushi
Miss utalii Tanzania 2011/12 kuzinduliwa Dodoma

Mhifadhi katika Hifadhi ya Tarangire, Beatrice Kessy (kulia) akifafanua jambo kwa washiriki Miss Utalii Tanzania 2011, katika ziara yao. BAADA ya kukamilisha uundaji mfumo mpya…

Continue Reading....

Ngoma Africa band wakishambulia Tübingen Festival

Posted on: July 20, 2011July 20, 2011 - jomushi
Ngoma Africa band wakishambulia Tübingen Festival

Baadhi ya wasanii wa muziki wa band ya ‘FFU’ ngoma Afrika Bakuli ya “Supu ya Mawe” yawalewesha washabiki! Kile kikosi kazi cha Ngoma Africa band…

Continue Reading....

Kim Poulsen atangaza kikosi cha Ngorongoro Heroes

Posted on: July 20, 2011 - jomushi
Kim Poulsen atangaza kikosi cha Ngorongoro Heroes

KOCHA Mkuu wa timu za Taifa za vijana, Kim Poulsen jana alitangaza kikosi cha wachezaji 30 wanaounda timu yenye umri chini ya miaka 20 (Ngorongoro…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari