Kampuni nne kati ya sita zimepita hatua ya kwanza ya mchakato wa kupata moja itakayofanya kazi ya kutengeneza tiketi za elektroniki kwa ajili ya mechi…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
Kundi la Mambo safi lapania Mei mosi
KUNDI la muziki wa asili na dansi la Mambo Safi limeanza kambi rasmi katika ukumbi wa Harbous Klab kwa ajili ya kujiandaa na sherehe za…
Continue Reading....Ligi Kuu Vodacom kuendelea, mechi tatu kupigwa wikiend hii
Na Mwandishi Wetu MICHUANO ya Ligi Kuu ya Vodacom (VPL) kuwania ubingwa wa Tanzania Bara inaendelea wikiendi hii kwa mechi tatu zitakazokutanisha timu sita kwenye…
Continue Reading....Michael Essien kurejea uwanjani Januari
Kiungo wa Chelsea Michael Essien atarejea uwanjani katikati ya mwezi wa Januari baada ya kupona maumivu ya goti yaliyokuwa yakimsumbua kwa muda mrefu. Michael Essien…
Continue Reading....Anichebe hatimaye apata goli
MSHAMBULIAJI kutoka Nigeria Victor Anichebe siku ya Jumapili alifanikiwa kufunga goli, baada ya ukame wa zaidi ya miezi 22. Everton ilifanikiwa kupata bao moja la…
Continue Reading....Sunderland yaishangaza Man City
BAO la Ji Dong-won katika muda wa majeruhi siku ya Jumapili uliiwezesha Sunderland, ikicheza nyumbani kupata ushindi ambao uliwashangaza mashabiki wa Manchester City, ambao hadi…
Continue Reading....