Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 316

Category: Michezo na Burudani

Wasanii waungana kuwanasa Wadurufu wa Kazi zao

Posted on: August 8, 2012August 8, 2012 - jomushi
Wasanii waungana kuwanasa Wadurufu wa Kazi zao

Msemaji wa Kampuni ya Steps Kambarage Ignatios amesema kuwa ukamataji huo si wa zimamoto watahakikisha wanashirikiana na wasanii wenyewe kukamata kazi zao maana wasanii wengi…

Continue Reading....

Mtanzania Ramadhan Shauri katika “RUMBLE IN THE CITY”

Posted on: July 16, 2012July 16, 2012 - jomushi
Mtanzania Ramadhan Shauri katika  “RUMBLE IN THE CITY”

■ Atapambana na bondia kutoka Uganda kugombea mkanda wa IBF Afrika ■ Mpambano huo wa kukata na shoka utafanyika siku ya Idd pili S hirikisho…

Continue Reading....

TUSKER, PORTS zakamilisha timu Kombe la Kagame

Posted on: July 14, 2012July 14, 2012 - jomushi
TUSKER, PORTS zakamilisha timu Kombe la Kagame

Tusker ya Kenya na Ports ya Djibouti zinawasili leo jioni kukamilisha idadi ya timu kumi na moja zinazoshiriki mashindano ya Kombe la Kagame yanayoanza kesho…

Continue Reading....

UEFA EURO 2012: Uhispania fainali

Posted on: June 29, 2012 - jomushi
UEFA EURO 2012: Uhispania fainali

Uhispania imefanikiwa kutinga kwa mara ya tatu katika fainali ya mashindano makubwa duniani katika kipindi cha miaka sita,baada ya kuwashinda majirani zao Ureno kwa mikwaju…

Continue Reading....

Kigoma yajiharalishia ubingwa Copa

Posted on: June 29, 2012June 29, 2012 - jomushi
Kigoma yajiharalishia ubingwa Copa

ILALA imeendelea kufanya vibaya kwenye michuano ya Copa Coca-Cola baada ya leo asubuhi (Juni 28 mwaka huu) kuchapwa mabao 4-0 na mabingwa watetezi Kigoma katika…

Continue Reading....

MASHALI V/S SAMSON ULINGONI-jumapili 24/6/2012.

Posted on: June 23, 2012June 23, 2012 - jomushi
MASHALI V/S SAMSON ULINGONI-jumapili 24/6/2012.

MABONDIA Thomas Mashali na Maisha Samson wamemaliza zoezi zima la upimaji na tayari kwa ajili ya mpambano wao utakao fanyika katika ukumbi wa Friends corner…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari