Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 313

Category: Michezo na Burudani

TFF Wawaalika Mashabiki Mpambano wa Simba na Azam

Posted on: February 12, 2013February 12, 2013 - jomushi
TFF Wawaalika Mashabiki Mpambano wa Simba na Azam

SHIRIKISHO la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) linawaka washabiki wa mpira wa miguu kujitokeza kwa wingi wikiendi hii kuzishangilia timu za Azam na Simba zitakazocheza…

Continue Reading....

Aliyeipa Ubingwa wa AFCON Nigeria Afunguka..!

Posted on: February 11, 2013 - jomushi
Aliyeipa Ubingwa wa AFCON Nigeria Afunguka..!

MFUNGAJI wa bao pekee la ushindi la Nigeria, Sunday Mba aliyeiwezesha Super Eagles kuilaza 1-0 Burkina Faso na kutwaa Kombe la Mataifa ya Afrika, amesema…

Continue Reading....

Leodger Tenga, Mark Fish Waunga Mkono Mapambano ya Malaria

Posted on: February 11, 2013February 11, 2013 - jomushi
Leodger Tenga, Mark Fish Waunga Mkono Mapambano ya Malaria

RAIS wa Shirikisho la Mpira wa Miguu nchini (TFF), Leodgar Tenga amesema Tanzania itatumia mashindano ya soka kwa wanawake na vijana kama sehemu mojawapo ya…

Continue Reading....

Kampuni 22 Zajiunga Kuikabili Malaria Kupitia Michezo

Posted on: February 11, 2013February 11, 2013 - jomushi
Kampuni 22 Zajiunga Kuikabili Malaria Kupitia Michezo

WAZIRI Mkuu Mizengo Pinda amesema makampuni yapatayo 22 yamejiunga na Mpango wa Kupambana na Malaria kupitia sekta binafsi na sekta ya michezo (Malaria Safe Companies)…

Continue Reading....

Michuano ya Bodaboda Cup Inayoendeshwa na Jeshi la Polisi Yafanyika Dar

Posted on: February 9, 2013February 11, 2013 - jomushi

Mchezaji wa timu ya waendesha Bodaboda kutoka Tegeta akiwania mpira mbele ya mchezaji wa timu ya Waendesha Bodaboda kutoka Kawe katika mashindano ya ligi ya…

Continue Reading....

Wagombea 10 Walioenguliwa Wakata Rufani TFF

Posted on: February 8, 2013February 11, 2013 - jomushi
Wagombea 10 Walioenguliwa Wakata Rufani TFF

*Oljoro kukipiga na Simba RUFANI kumi zimewasilishwa mbele ya Kamati ya Rufani ya Uchaguzi ya Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kupinga uamuzi wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari