Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 306

Category: Michezo na Burudani

The Guinness Football Challenge Kuanza Wiki Hii

Posted on: March 20, 2013March 20, 2013 - jomushi
The Guinness Football Challenge Kuanza Wiki Hii

*KIPINDI CHA KWANZA CHA MCHEZO HUU WA KUSISIMUA WAANZA TAREHE 20 MWEZI HUU* WAKATI umewadia tena wa kushuhudia mapambano katika kipindi ukipendacho cha Televisheni na…

Continue Reading....

IBF Yaleta Hamasa Namibia

Posted on: March 19, 2013March 19, 2013 - jomushi
IBF Yaleta Hamasa Namibia

Mpambano wa kutafuta Mfalme wa uzito wa Bantam wa Kimataifa (IBF International Bantamweight Title) kati ya mabondia Immaneul Naidjala a.ka. Prince kutoka nchini Namibia and…

Continue Reading....

Washiriki wa Shindano la Moro Carnival ‘Wawasha’ Moto Sabasaba

Posted on: March 18, 2013 - jomushi
Washiriki wa Shindano la Moro Carnival ‘Wawasha’ Moto Sabasaba

 Kijana Mafuvu akionyesha umahili wake wa kucheza katika Shindano la Moro Carnival ambalo lilikuwa likiwapambanisha vijana wa mji wa Morogoro kuonyesha vipaji vyao mbali mbali.…

Continue Reading....

Wadhamini Miss Utalii Wakwamisha Shindano

Posted on: March 18, 2013March 18, 2013 - jomushi
Wadhamini Miss Utalii Wakwamisha Shindano

FAINALI za Taifa za Mashindano ya Miss Utalii Tanzania 2012/13, zilizopangwa kufanyika Machi 17, 2013 katika Ukumbi wa Dar Live Dar es Salaam, zimesogezwa mbele…

Continue Reading....

Washiriki Miss Utalii 2012/13 Watembelea Chuo Kikuu cha Uandishi

Posted on: March 13, 2013 - jomushi
Washiriki Miss Utalii 2012/13 Watembelea Chuo Kikuu cha Uandishi

WASHIRIKI wa Shindano la Miss Utalii 2012/13 wametakiwa kutumia elimu zao kutangaza utalii wa Tanzania jambo ambalo litakuwa na manufaa kwao na Taifa kwa jumla.…

Continue Reading....

Rais Kikwete Ashiriki Msiba wa Yanga

Posted on: March 11, 2013 - jomushi
Rais Kikwete Ashiriki Msiba wa Yanga

RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Jakaya Mrisho Kikwete leo, Jumatatu, Machi 11, 2013, amejiunga na mamia ya waombolezaji kumzika aliyekuwa mchezaji hodari wa…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari