BONDIA mbavu nene Ramadhan Kido anataka tena kuzichapa na mwenzake Alphonce Mchumiatumbo warudiane baada ya pambano lao la mwanzo lilofanyika uwanja taifa kuchapwa amepania kulipa…
Continue Reading....Category: Michezo na Burudani
TFF ‘Yawatosa’ Mashabiki Simba, Yaupinga Mkutano Wao
MKUTANO Mkuu wa Dharura ulioitishwa na wanachama wa Simba, Machi 17 mwaka huu na kuuondoa uongozi wa klabu hiyo si halali kwa vile haukufuata taratibu,…
Continue Reading....TFF, Serikali Waipongeza Taifa Stars, Mechi Yavuna Mil 226/-
MECHI ya mchujo ya Kombe la Dunia kati ya Tanzania (Taifa Stars) na Morocco (Lions of the Atlas) iliyochezwa jana (Machi 24 mwaka huu) na…
Continue Reading....Website ya Ngoma Africa Band ‘FFU’ Yaanza Kurusha Muziki Hewani
WEBSITE www.ngoma-africa.com ya Ngoma Africa Band au maarufu kama ‘FFU’ imeanza tena kurusha muziki hewani, baada ya marekebisho machache yanayoendelea kufanywa ili kubadili sura ya…
Continue Reading....Bondia Herbert Quartey na Albinus Felesianu Kuzichapa Machi 29
MABONDIA kinda Herbert Quartey kutoka Ghana na Albinus Felesianu wa Namibia wanatarajia kuwania Ubingwa wa dunia kwa vijana katika uzito wa Super Feather watakapokutana Machi…
Continue Reading....