Skip to content
Habari  | Michezo | Mahusiano | Blog Tanzania
  • Habari
    • Habari za Kimataifa
    • Habari za Uchunguzi
    • Habari za biashara
    • Habari za Vijijini
  • Matukio Katika Picha
  • Burudani
  • Uchambuzi
  • Michezo
    • Matokeo Ya Ligi Kuu Ya Uingereza (English Premier League)
  • Home
  • Michezo na Burudani
  • Page 300

Category: Michezo na Burudani

Mashindano ya Ngumi Klabu Bingwa Mkoa wa Temeke Yaendelea Bila Udhamini

Posted on: April 17, 2013 - jomushi
Mashindano ya Ngumi Klabu Bingwa Mkoa wa Temeke Yaendelea Bila Udhamini

Na Mwandishi Wetu MASHINDANO ya Klabu Bingwa ya Mkoa wa Temeke yameanza jana jijini, Dar es Salaam huku yakishirikisha timu 20 na yanatarajiwa kufikia tamatiĀ …

Continue Reading....

Onesmo Ngowi Kuongoza Ujumbe Mzito Mkutano wa Shirikisho la Ngumi Kimataifa, Ujerumani

Posted on: April 17, 2013 - jomushi
Onesmo Ngowi Kuongoza Ujumbe Mzito Mkutano wa Shirikisho la Ngumi Kimataifa, Ujerumani

MTANZANIA, Onesmo Ngowi ambaye ni Rais wa Shirikisho la Ngumi la Kimataifa Bara la Afrika, Ghuba ya Uajemi na Mashariki ya Kati, ataongoza ujumbe mzito…

Continue Reading....

Bi. Kidude Afariki Dunia, Wajua Historia Yake?

Posted on: April 17, 2013 - jomushi
Bi. Kidude Afariki Dunia, Wajua Historia Yake?

Na Mwandishi Wetu, TAARIFA ambazo mtandao huu umezipata ni kwamba msanii maarufu na nguli nchini Tanzania Bara na Visiwani, Fatuma binti Baraka au maarufu kwa…

Continue Reading....

Jerry Silaa Ashiriki Bonanza la Stakishari Veterans

Posted on: April 16, 2013 - jomushi
Jerry Silaa Ashiriki Bonanza la Stakishari Veterans

Picha juu na chini ni Mgeni rasmi, Mstahiki Meya wa Halmashauri ya Manispaa ya Ilala, Jerry Silaa akizungumza wananchi pamoja na washiriki wakati wa bonanza…

Continue Reading....

Mechi ya Azam, Simba Yaingiza Mil. 66/-, Yanga na Oljoro Mil. 63/-

Posted on: April 15, 2013 - jomushi
Mechi ya Azam, Simba Yaingiza Mil. 66/-, Yanga na Oljoro Mil. 63/-

MECHI ya Ligi Kuu ya Vodacom kati ya Azam na Simba iliyochezwa Aprili 14 mwaka huu Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam imeingiza sh. 66,855,000…

Continue Reading....

Mabondia Ghana Kuwasha ‘Moto’ Mei 3

Posted on: April 15, 2013 - jomushi
Mabondia Ghana Kuwasha ‘Moto’ Mei 3

NCHI ya Ghana ambayo ni moja ya nchi zenye vipaji vingi vya wanamichezo mahiri na majina makubwa hususan mchezo wa ngumi, itawaka moto Mei 3,…

Continue Reading....

Posts navigation

Older posts
Newer posts
thehabari